Mawaidha Popote

The mission Of Mawaidha Popote is to Prepare the Nations of the world for the coming of Jesus Christ and establishment of the kingdom of God on Earth.our ultimate goal is to achieve a time in history when "the knowledge of the Lord will cover the earth as the waters cover the sea".

Wednesday, 17 April 2019

Kuwa na Ndoto juu ya Maisha yako

›
Muhubiri 5:3 kwa maana ndoto huja kwasababu ya shughuli nyingi.... kwasababu baadhi yetu  tunandoto na hatutaki kufanya kazi na wakati mwi...
Wednesday, 20 March 2019

SAFARI YA MOYO

›
“Ni nani atakayenitunzia watoto wangu?” analia mama anayekufa, akijua kwamba watoto wake  hivi karibuni watajiunga  na mamilioni ya wengin...
Monday, 17 December 2018

Mungu Anakupenda

›
Usifike mwishoni mwa maisha yako ukiwa umejawa na majuto ya hasara ya maisha yako kwa sababu uliyatumia  kwa. vitu visivyo  na  maaana  k...
Monday, 22 October 2018

Barua

›
Wapendwa wangu Mama na Baba.     Tangu Niende Chuo kikuu Najua sijachukua Muda wa kuwaandikia na Naomba msamaha kukosa kufikiria kuwaandi...
Tuesday, 25 September 2018

Mimi ni Mageuzi ya Upendo.

›
Ninachagua huruma na kusalimisha misamaha yangu. Ninapinga maovu na kujitolea kufanya matendo ya Upendo wa Mungu. Ninakataa kutofanya l...
Wednesday, 12 September 2018

Wewe Ni Nani: Tai au Ndege Mvumaji?

›
Makala moja katika jarida la   Reader’s Digest  ilisema: Ndege mvumaji na tai hupaa juu ya majangwa ya mataifa. Kile  ambacho tai  wote  h...
2 comments:
Tuesday, 11 September 2018

Mungu Anampenda kila mtu.

›
Wakristo wengi wanapenda  kuchagua  kuhusu ni yupi wanayemsaidia  na wanayemtia moyo. Wanawatafuta watu kama wao. Baadhi  ya watu hata ...
Monday, 10 September 2018

Mpango wa Pili.

›
"Penzi la kweli halikosi mkwarunzo"......utahuzunika Kwa muda gani? Utaishi kwa majuto kwa Muda gani??Mwenzangu Majuto humaliza ...
Sunday, 9 September 2018

Je, Twahitaji Ufufuo au Mageuzi?

›
Kila mmoja anafikiria juu ya kuubadili ulimwengu, lakini hakuna anayefikiria kujibadili yeye mwenyewe. Jimmy J Wakati kitu fulani kinap...
Tuesday, 4 September 2018

Vaa Miwani Yako Ya Mungu

›
Natuvae  kile  ninachoita  “Miwani  ya  Mungu,”  ili  tuangalie  mambo fulani  kwa  mtazamo  wa  Mungu.  Yeye  anaona  mambo  kwa  njia to...
Monday, 3 September 2018

Usingoje Kesho

›
"....tazama,  wakati  uliokubalika  ndio  sasa;  tazama,  siku ya  wokovu ndiyo sasa.) 2 Wakorintho 6:2 “ Jana ni historia, kesho  n...
Sunday, 2 September 2018

MAGEUZI YA UPENDO

›
Mageuzi .   Neno lenyewe linaibua  tumaini, linawasha  hamu na kuvutia uaminifu  kama  neno  ambalo halijawahi kupatikana kwenye msamiati...
Wednesday, 29 August 2018

Nguvu za Kuendelea Mbele

›
Nakumbuka  siku  moja  nilipokea  habari  mbaya  sana  muda  mfupi kabla kuaanza kongamano la siku  tatu. Ilikuwa vigumu kuendelea, lakin...
Thursday, 9 August 2018

Je, Yesu Alikuja kwa ajiri ya Wayahudi Pekee ??

›
Ndugu   zetu   Waislamu   wanapenda  sana  kudai   kuwa   Yesu   alikuja kwa   ajili   ya  Wayahudi   peke   yao   na   sio   kwa   ajili...
Sunday, 5 August 2018

Je, Yesu Alikufa...??

›
Na KWA AJILI YA KUSEMA KWAO MV BUKOBA Ilizama; na kwa hakika MV BUKOBA haikuzama Bali ulizama tu mtumbwi uliofanana na MV BUKOBA na wale ...
›
Home
View web version

About Me

MAWAIDHA POPOTE
View my complete profile
Powered by Blogger.