Monday, 28 May 2018

AINA ZA MAOMBI

 

Kwanza kabisa  basi,  naomba  dua, sala,  maombi  na sala  za  shukrani zitolewe kwa Mungu kwa ajili ya watu wote. Kwa ajili ya wafalme  na wote wenye mamlaka,  ili tupate kuishi maisha ya utulivu  na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu. 1 Timotheo 2:1-3