Salamu ndugu zangu katika jina la Yesu Kristo. Leo niko hapa kusema na wewe kuhusu Mungu
wetu na mungu wa waislamu kama ni mmoja yule yule au ni wawili tofauti.

Yamekuwepo maneno ya wanasiasa katika kutafuta namna ya kuiunganisha jamii kisiasa wakiwadanganya kwamba Mungu wa wakristo na Mungu wa waislamu ni mmoja! na wanasema hivi si kwa sababu hawajuwi ila wanakwepa kuwepo kwa mpasuko wa kidini bayana ya jamii wanayoiongoza.
nataka nikuambie ukweli kwamba wanasiasa hawana muda wa kutaka kuwaunganisha watu na Mungu kwanza wengi wao wanaamini kwamba hakuna Mungu, kwa sababu wanasiasa wako chini ya philosophy hawako chini ya theology. kwa sababu imani ya philosophy ni kwamba hakuna Mungu, bali imani ya Theology ni kwamba kuna Mungu. nimekuja kugundua kwamba imani ya philosopy ni imani ya kipumbavu, kwa sababu biblia inasema katikaZaburi:53 mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu. lakini hebu tuachane na hayongoja turudi kwenye mada yetu, wanasiasa wanafanya hivi kwa manufaa ya kisiasa lakini si kwamba husema hivyo kumuwakilisha Mungu.
Lakini ukweli uko wapi? Hivi nikweli kwamba Mungu wetu ni mmoja? Jibu ni Hapana, kwanini jibu liwe hapana?
kwasababu hizi:-
kwanza qruani inajua kabisa kwamba mungu wake si mungu aliyeumba mbingu na nchi!
kwasababu hii ndiyo maan hakuna aya hata moja ndani ya Quran ambayo mungu anasema kwamba “mimi ndiye niliyeziumba mbingu na nchi” bali utakutana na aya ikisema“mwenyezi Mungu aliziumba mbingu na nchi”

Pia ujulikane kwamba kila kitu hutambulika kwa majina yake. hata wanadamu hutambulika kwa
majina ndipo mtu utapata kuelewa kwamba anayekusudiwa ni fulani. Mungu wa biblia
anaitwa Niko ambaye niko, Yehova, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega.

Lakini mungu wa qruani jina lake ni Allah, sasa hoja inakuja hapa ili sasa mimi Sheikh mstaaaaafu nikubali kwamba mungu wa waislam na Mungu wetu ni mmoja, ni andiko gani katika
Biblia linalosema kwamba Mungu jina lake ni Allah? pia ni aya gani ndani ya qruani inayokubali kwamba mungu jina lake ni Yehova?

Lakini katika kufanya utafiti nimegundua kwamba Allah si Mungu wa kweli bali ni SHETANI MKUBWAA kwamujibu wa qruani surat muhamad aya ya15.
inasema hivi “mfano wa pepo aliyowaandaliawaja wake mwenyezi Mungu iko hivi, ndani yake kuna mito ya maziwa na mito ya ulevi wenyeladha kwa wanywaji.humo watapata kuburudishwa kwa matunda ya kila namna nasamahani kutoka kwa mola wao.” lakini ukisoma qruani hiyo hiyo sura ya 5 aya ya 90, inasemahivi: “Enyi mlioamini bila shaka ulevi na kamari na kuombwa yeyote asiyekuwa mwenyezi Munguni uchafu na ni kazi ya shetani.” sasa rafiki yangu kwa mujbu wa aya hizi hebu fikiria sasa aya yakwanza imesema Allah katika pepo yake kuna mito ya ulevi, lakini qruani hiyo hiyo imesema ulevi ni kazi ya shetani, kama aya zenyewe ndizo hizi hoja yangu inakuja hapa: Yeye Allah kamasiye shetani amepata wapi ulevi hali yakuwa ulevi ni wa shetani?

Lakini Biblia imesemaje kuhusu ulevi: walevi na wachawi na wazinzi hawataurithi
ufalme wa mbinguni. Mungu anasema katika isaya Ole wao waamkao asubuhi na kufuata ulevi.
mpendwa kuwa macho hizi ni nyakati mbaya za mpinga kristo.

Wiki ijayo nitaweka hapa somo la mpinga kristo naomba usilikose, ni somo zuri linafundisha jinsi
ya kumjua mpinga kristo na mpinga kristo ni yupi? kwa kifupi ni kwamba mpinga kristo sio mwanadamu kama watu wengi wanavyodai, pia elewa kama mpinga kristo yupo duniani anafanya kazi kwa kiwango cha juu sana hivi sasa.

Tafakari
Chukua Hatua.
YESU NI MUNGU MKUU
God bless you and your family
ReplyDelete