Nami pia nilikuwa katika mtazamo Huu wa utata….nichague Lipi?Yesu au Allah?ni yupi Mungu wa kweli,nilikuwa pekee yangu chumbani,nikiwanimepiga magoti pembeni ya Dirisha na kuanza kuomba “Allah..Allah…Allah My Lord,Allah….My King,kwanini umenifanyia Hivi,mimi ni mjumbe wako lakini kwanini umeniweka na makafir, wayahud na wakristo nyumba moja?Nimechanganyikiwa,Allah…..hawa watu wanamahusiano na Mungu wao,Hawa watu wanalia na kuomba kwa Mungu wao na anawajibu!Allah nataka nikusikieeee…nataka nisikie sauti yako kama unanipenda,nataka nisikie kama upo.(katika hali ya hunzuni sana)
Gafra nilijikuta natoka machozi mengi bila kuona majibu ya maombi, “Kwanini Allah ajajibu maombi?”Niliwaza kwa maumivu,kwasababu Allah ameshindwa kujibu maombi yangu,”Siwezi tena kuishi duniani”Nilisema.Nimemtumikia Allah tangu udogo wangu lakini sijawah kusikia akisema nami?mbona makafir Mungu wao anajibu??”Nikainuka chumbani nakuchukua Bastola na kuamua kujimaliza mwenyewe “sifai kuishi tena”nilisema.
Nikajiwekea Bastola kwenye kichwa changu……. “Zakir Naik……Zakir,come on…..come on….”ilikuwa sauti ambayo sikuju inatokea wapi ikiita jina langu? “Wewe ni Nani ?nikajibu huku nikaiweka bastola chini kwa Haraka sana” mimi Ni Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo” Alijibu.Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo kama niwewe Nataka nikusikie Leo?,Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo kama ni wewe upo, nataka nikuone Leo?”nikasema kwa uchungu sana.
Mara chumba kikajawa na utukufu, Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo akashuka kwenye chumba changu, jina lake ni Yahwe…Niliona katika mikono yake kuna alama za misumari pamoja na miguu “Mimi Alfa na Omega,NIKO ambaye NIKO,nilikujua kabla ujazaliwa,Nilikupenda nakukufia….Inuka mwanangu,we ni wangu”Alisema kwa sauti ya upole.Hapo ndipo ulikuwa mwanzo wangu wa kumwamini Yesu..(Ushuhuda wa Zakir Naik toka lebanon. www.cbn.com )

Rafiki yangu wazamani aliniambia “Mtu Fulani Alitaka kumfanya Binti yake wa miaka mitatu kuwa mpiga piano mkubwa Hivyo,alilazimishwa kufanya mazoezi hadi usiku.vidole vyake viliuma na alilia sana.Baba yake alitulia lakini alikuwa mkali….. “mpendwa wangu tambua vidole vyako vidogo vinauma…..lakini nataka uje kuwa mpiga piano maarufuu…hata ukipata shida sasa ndoto zangu juu yako ziwe Halisi.
“mwanadamu,sisi ni kama huyo mtoto mdogo! “akasema mara nyingi tunauliza kwanini nipo Hapa,kwanini nipo katika imani hii?kwanini niteseke?”kunajawabu moja tu…Mungu ana ndoto!.
Nilipenda hadithi hiyo…na ujumbe pia!Maana Rafiki yangu amekuwa mshauri mnzuri,nikafikiri swali la Mwisho…. “kwanini umeruhusu watu wako kupotoshwa…?sikuwah kuuliza Hivyo! “Niliumia sana moyoni”
Biblia inaweka wazi jambo hili “Yesu alisema mwapotea kwakuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu,Mathayo22;29”swali lajibiwa Basi?kumbe watu wanapotea kwasababu hawajui maandiko na uweza wa Mungu?kwa mantiki hiyo Neno la Mungu ndio linatuokoa kutokana na kupotea Yohana8;31-32.
Mungu ameruhusu kuwepo kwa mpotoshaji miongoni mwetu ili kupima imani zetu,Je twaweza kuitambua njia ya kweli na uongo?Je ni Yesu au Allah? Hatuwezi jua haya bila kuchunguza maandiko.kuna njia muhimu ambazo Adui anatumia kupotosha watu;-
1.Shetani/Allah hutumia dini kuwalaghai waamini kwamba mwanadamu akijiunga nayo anakubaliwa na Mungu kwasababu dini hiyo peke ndio Dini ya mwenyenzi Mungu na akifa dini hiyo itamfanyia ibada na kumzika ipasavyo.kama unavyoweza waza uislam umekuwa ukijinadi kuwa dini isiyokuwa na shaka na ni dini pekee ya mwenyenzi Mungu lakini unapojiuliza mengine yale ambayo yapo ndani ya Quran unapata shaka , moja ya swali kubwa kwanini Allah ataingia motoni ?kwa mujibu wa Hadithi ya Anas Ibni Malik (r.a) kuwa Mtume (s.a.w) amesema jehanamu itaendelea kusema,
“Je, kuna nyongeza”? Mpaka Allah atakapoweka humo unyayo wake na hapo utasema, Qat Qat
(inatosha inatosha) naapa kwa nguvu zako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana na kuwa
pamoja” (BukhariHadithi Na. 654, Juzuuya 8)

2.njia nyingine ambayo Allah huwalaghai;- ni Mungu huyapima matendo yake mema na mabaya kama matendo mema ni mengi kuliko mabaya basi mwanadamu huyo atakubaliwa na Mungu.Nanukuu"Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu, Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo? Ni Moto mkali!" (Kurani 101:6-11).’’kwa ulaghai huu wanadamu wengi wanaukataa mpango wa Mungu wa kuwaokoa kutoka katika ufalme wa shetani/Allah na wanakufa wakiwa watoto washetani/Allah,wanakufa katika dhambi zao.
Biblia hufundisha kwamba dhambi humtenga mtu na Mungu na kwamba wanadamu wote tumetenda dhambi(isaya59;2,warumi3;23)hii inamaana kwamba wanadamu wote kwa kutenda dhambi,hujiunga na ufalme wa shetani.
Biblia inatueleza mpango wa Mungu wa wenye dhambi kuweza kupokelewa kwenye ufalme wa Mungu na njia hiyo ya pekee kwa watu wote;-
1.Wale wanotubu na kuiamini injili ndio wanaokubali mpango wa kuokolewa na ndio wanaofanyika raia katika ufalme wa Mungu.’’Amini,amini nakuambia mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuona…..kuingiaufalme wa Mungu’’(Yohana3;3,5).Naye alituokoa katika nguvu za ufalme wa giza ,akutuamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake(Yesu).’’wakorinto1;13)
2.Wale wanaokataa wanaangamia
“Huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu na wao wasiotii injili ya Bwana wetu Yesu kristo watakao adhibiwa kwa maangamizi ya milele kutengwa na uso wa Bwana wa utukufu na nguvu zake’’(wathesalonike1;8-9).Mungu anatakata watu wote waokolewe katika ufalme wa shetani,Hataki hata mmoja aangamie,anataka watu wote wawe katika ufalme wake.

Kupitia maandiko tumetambua kuwa Allah siyo Mungu wa kweli,Basi unasubiri nini? Biblia inasema
“Tazama nasimama mlangoni,Mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami. (Ufunuo 3:16). Pia anasema, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. (Yohana 14:6). Uwe Mkristo au si Mkristo, chunguza kwanza unachoamini na kulinganisha mambo ndipo ufanye uamuzi ukiwa unajua, kwa hakika, kwa nini ninachagua hiki na kwa nini ninakataa hiki. Ni wazi kuwa, si jambo salama kuamini tu! Kwamba ukiulizwa unasema, “Mimi naamini tu. Naamini tu. Ndiyo niliyoyakuta. Kwa hiyo naamini tu!” Itafute kweli kabla uhai haujaisha. Kweli ni kitu cha thamani kuliko kitu chochote maishani! Ndiyo kitu pekee kitakachoamua mimi na wewe kuwapo mbinguni milele au jehanamu milele!

wakati unapoitafuta kweli. Itafute kweli wewe ukiwa wewe. Usiseme ni kwa sababu mtu fulani au watu fulani wanasema hivi na hivi ndiyo maana na mimi nasema hivyo.Siku ya mwisho wewe na mimi tutasimama kila mtu peke yake mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu kueleza tulifanya nini na maisha yetu! Kama ungependa kutii agizo la Quran la kumfuata Allah na kwenda motoni au kama kumkaribisha Yesu moyoni mwako awe Bwana na Mwokozi wako, huhitaji kufanya jambo kubwa sana. Ni rahisi tu. Unaweza kulifanya chumbani mwako au mahali popote. Biblia inasema, Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana, kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. (Waebrania 10:9-10). Basi kama uko tayari, omba sala ifuatayo kwa moyo wako wote:
Baba Mungu wa mbinguni, ninaamini kwamba Yesu ulikufa msalabani na ukafufuka siku ya tatu na sasa u hai milele mbinguni. Ninaamini kuwa Yesu ulikufa kwa ajili ya dhambi zangu, ili mimi niweze kusamehewa dhambi na kuhesabiwa haki bure ya kuwa mwana wa Mungu. Ninatubu dhambi zangu zote kwa Jina la Yesu; na ninakuomba Baba, ufute jina langu kwenye kitabu cha mauti; na uandike jina langu kwenye kitabu cha uzima. Yesu Kristo Mwokozi wangu, ninakukaribisha moyoni mwangu ili ukae nami siku zote za maisha yangu kwa njia ya Roho Mtakatifu wako. Ninakataa kuishi tena maisha ya dhambi. Ninakuomba Bwana unisaidie kuishi maisha matakatifu ya ushindi na ya kukupendeza wewe. Asante Baba kwa kunisamehe, kuniokoa na kuja ndani ya moyo wangu. Ni katika Jina la Yesu Kristo nimeomba, Ameen
No comments:
Post a Comment