Monday, 27 November 2017

ISA NI ROHO YA ALLAH? JE QUR’AN INASEMAJE

Naendelea kushangazwa na waislam wanavyozidi kutangatanga na mitazamo tofauti Wenyewe kwa wenyewe na kubishana hata kile kitabu chao ili kuficha ukweli,hilo ni jambo baya sana,kuamini tu kwa sababu umeambiwa uamini maana imani bora ni kuamini kweli Kwa hiyo, ni jambo la muhimu sana tena sana kutafuta ushahidi au kuyapima tena na tena yale tunayoyaamini ili tusije kupata hasara mwisho wa safari.Kwaajili ya hilo ninapenda kuchukua fursa hii kukualika katika muendelezo wa somo letu juu ya isa /Yesu ni Mungu wasomaji na wafuatiliaji wa makala mbalimbali za Sheikh mstaafu lakini haswa katika makala hii muhimu inayo zungumzia mada hii nzito ihusuyo ukweli juu ya Bwana isa/Yesu kuwa yeye ni nani haswa kiasili? Kimsingi mada hii ni miongoni mwa mada zenye utata mkubwa katika ulimwengu wa Imani na Dini mbalimbali, maoni na mitazamo tofauti imetolewa na watu wa Dini juu ya namna wanavyoelewa kuhusu mada hii.

Quran inasema: And remember the woman who kept her chastity. We breathed into her Our Spirit, and made her and her son a sign to all men. Yaani: Mkumbukeni mwanamke aliyetunza ubikira wake. Tulimpulizia ndani yake Roho Yetu, na kumfanya yeye na mwanawe kuwa ishara kwa wanadamu wote. (Al-Anbiya 21:91). Pia, imeandikwa: And Allah has given as example Mariam, Imran’s daughter, who preserved her chastity and into whose womb We breathed Our spirit; who put her trust in the words of her Lord and His scriptures and was truly devout. Yaani: Na Allah amemtoa kama mfano, Mariamu, binti wa Imran, ambaye alitunza ubikira wake na ambaye ndani yake tulipulizia Roho Yetu; ambaye aliyaamini maneno ya Bwana na maandiko yake na alikuwa kweli mcha Mungu. (Al-Tahrim 66:12.) 

Vilevile tuliyoyaona katika Sura ya AlNisa 4:171 Quran inasema: Al-Masih, Isa son of Mariam, was no more than Allah’s Apostle and His Word which He cast to Mariam; a spirit from Him. Yaani: Masih, Isa mwana wa Mariam, alikuwa ni Mtume wa Allah na Neno Lake alilolirusha (au alilolituma) kwa Mariam; roho kutoka Kwake, na si zaidi ya hapo. (Al-Nisa 4:171). Tunachojifunza hapa ni kuwa, kumbe kilichoingia tumboni mwa Mariam ni Roho ya Allah. Katika Al-Anbiya 21:91 na Al-Tahrim 66:12, tumeona Quran ikisema wazi kabisa kuwa Allah anamwita Isa roho Yetu. Na katika Al-Nisa 4:147, nako pia Quran inasema wazi kuwa Isa ni roho kutoka Kwake (yaani kutoka kwa Allah). Hapa ndipo tunapojiuliza kuwa: Je, roho ya mtu si ndiyo mtu 

mwenyewe? Je, mwanao uliyemzaa ni roho yako? Tumezoea kusikia watu wakisema, ‘Huyu ni damu yangu.’ Lakini huu ni msemo tu. Katika hali halisi, damu ya baba au mama na ya watoto wao si moja hata kidogo. Ndiyo maana mzazi akiishiwa damu, daktari hawezi tu kuchukua damu ya mtoto na kumwekea mzazi, kisa tu eti ni mwanawe. Mzazi huyo anaweza kufa! Kwa nini? Kwa sababu damu zao zinaweza kabisa kuwa tofauti. Ni hadi damu hiyo itakapopimwa na kuhakikiwa kuwa zinafanana ndipo atakapopewa yule muhitaji. Kama basi damu tu haziwezi kufanana, je roho? Je, unaweza kusema kuhusu mwanao kuwa, ‘Huyu ni roho yangu?’ Haiwezekani! Sisi kama wanadamu si roho ya Mungu hata kidogo. Tunatambua kuwa 
wanadamu wameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Hakuna mwanadamu yeyote – kuanzia wanadamu wa kawaida, mitume na manabii wote - ambaye Mungu alisema, “Huyu ni roho yangu.” Sasa kwa nini, katika Quran, ambacho ni kitabu kisicho na shaka, Allah aseme kuwa Isa ni roho Yetu? Nadhani jibu ni wazi - Isa/Yesu ni zaidi ya mwanadamu. Yeye si mwanadamu wa kawaida. Sasa, kama Isa ni roho, ambaye Quran katika Al-Anbiya 21:91, AlTahrim 66:12 na Al-Nisa 4:171 inatuambia wazi kuwa ni roho ya Allah, maswali rahisi ya kujiuliza ni kuwa: 
• Je, roho yangu na mimi tuko tofauti? 
• Je, roho yangu si ndiyo mimi mwenyewe? 
• Je, roho ya Mungu si ni Mungu mwenyewe? 
Kumbuka kuwa, tunaposema mtu amekufa, maana yake ni kuwa roho yake imetoka kwenye mwili; si mwili umetoka kwenye roho. Na sote tunatambua kuwa hata yule tunayesema amekufa, yupo hai mahali fulani – iwe ni peponi au kuzimu. Lakini yupo! Na hata maiti tunaiita, ‘Huu ni mwili wa fulani.’ Hii inaonyesha kuwa kumbe kupumua, kutembea, kuongea n.k. kwa mtu kunatokana na roho iliyo ndani yake. Yaani mtu ni ile roho iliyo ndani na si mwili. Uhai wa mtu umo katika roho yake, si katika mwili wake. Ndiyo maana kwa habari ya mambo ya Mungu tunatakiwa kuelekeza nguvu zetu zote katika roho; si katika mwili. Kwa wasomaji wa Biblia wanatambua kuwa imeandikwa Roho ndiyo itiayo 

uzima, mwili haufai kitu (Yohana 6:63). Pia, imeandikwa, … mwili pasipo roho umekufa ... (Yakobo 2:26). Na hili ni jambo lililo wazi tu. Kwa hiyo basi, roho ya mtu ndiyo mtu mwenyewe. Hii inatupeleka kwenye kujiuliza maswali zaidi kuwa: Je, Roho iliyoingia kwa Mariam ni ya Mungu au si ya Mungu? (rejea aya tulizosoma hapo juu). Kama Roho hiyo ilifanyika Isa, je, hakuna mantiki (logic) kusema kuwa Mungu alifanyika Isa? Ni jambo lisilobishaniwa na Quran kwamba, Isa kama mtoto alizaliwa bila baba wa kibinadamu kwa namna tofauti na ambavyo sisi tumezaliwa. Ndiyo maana anaitwa Isa ibn Mariam. Lakini, ni jambo lililo wazi pia kuwa, Isa hakutokana na Mariam peke yake. Maana kabla ya malaika kuja, Isa hakuwapo tumboni mwa Mariam. 

Sasa upande wake wa pili wa Isa umetoka wapi? Tumeona jinsi ambavyo Quran imeweka wazi kabisa kuwa yeye ni roho kutoka kwa Allah. Kwa hiyo, ni wazi kuwa Isa ni mwana aliyetokana na Mungu. Je, kimantiki (logically), kuna ajabu gani basi yeye kujiita au sisi kumwita ni Mwana wa Mungu? Hata wewe msomaji hebu nisaidie hapo. Wewe unasemaje? Kulingana na aya tulizosoma, je, Isa ni Mwana wa Mungu au si Mwana wa Mungu? Kwa 

nini? Lakini mimi nasema kwamba, kulingana na aya tulizosoma, tumeona kuwa, Isa kama mtoto, alitokana na Mungu. Hivyo ni Mwana wa Mungu. Kwa hiyo, Mungu ni Baba yake na Mariam ni mama yake. Vilevile, Isa ni roho ya Mungu. Ni katika msingi huu tu ndipo Ukristo unapata majina haya matatu, yaani: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu, yaani Utatu Mtakatifu. Lakini, kama umefuatilia vizuri toka mwanzo utakuwa umegundua bila shaka yoyote kuwa, ni yuleyule na katu si watatu. Maana, roho yangu ndiyo mimi mwenyewe. Kwa hiyo, kama Yesu ni Roho ya Mungu, basi Yesu ni Mungu yuleyule. Yeye ni Mungu Baba kwa sababu yeye ni roho ya Mungu – na roho ya mtu ndio mtu mwenyewe. 

Yeye ni Mwana wa Mungu kwa sababu upande wa kike ni Mariam na upande unaobaki ni Mungu. Yeye ni Roho Mtakatifu kwa sababu tumeona Quran ikisema kuwa Allah anasema Isa ni ‘Roho kutoka Kwetu.’ Yaani, ni Mungu yuleyule aliingia ndani ya Mariam. Labda unasema Mungu hazai. Hapo ina maana tu kuwa unaibishia Quran ambacho ni kitabu kisicho na shaka, inayosema kuwa Isa alitokana na pande mbili – Mariam na Allah! Ni wazi kwamba utata kuhusu Yesu, hususan kuhusu yeye kuwa Mwana wa Mungu unatokana na mtazamo wa wengi juu ya suala la uzazi. Watu wengi unapowaeleza kuhusu jambo la uzazi wa Yesu, wao hulihusisha moja kwa moja na namna binadamu anavyozaa. Watu hawa 

wanachukulia kwamba, ili uzaaji utokee, basi ni lazima mwanamke na mwanamume wafanye tendo la ndoa. Huu si mtazamo mpana kiasi cha kutosha. Je, viumbe wote huzaliana kwa njia moja tu? Zipo namna nyingi zinazowezesha viumbe wachanga kupatikana. Hebu tazama mifano michache ifuatayo: 
(a) Miti: Mbegu za kiume na kike hukutanishwa na upepo au na wadudu kama vile nyuki. 
(b) Konokono: Mbegu za kiume na kike zipo zote ndani ya konokono huyo huyo. 
(c) Bakteria na virusi: Bakteria au kirusi mwenyewe hujigawa mara mbili katikati. 
(d) Samaki: Mbegu za kike na kiume hukutana zenyewe baada ya kumwagwa kwenye maji. 
(e) Chawa: Uchafu tu wa mwili ukikaa katika mazingira fulani, chawa hutokea. 
(f) Wanadamu: na wanyama Mbegu za kike na kiume hukutana baada ya mke na mume kukutana kimwili. 
Tulichoona hapo juu ni kuwa Mungu ni mwenye uweza mkuu sana. Kuzaa si tu kitendo cha mwanamke na mwanamume kukutana kimwili. Lakini, Mungu kwa hekima yake ipitayo ufahamu wetu ameweka njia nyingi za kuwezesha wana/watoto kuzaliwa au kupatikana. Mti mchanga una baba na mama yake; samaki, chawa, konokono, virusi n.k. Kwa ujumla kila mmoja ametokana na mbegu ya kike na ya kiume. Lakini mbegu zote hazikutanishwi kwa mfumo mmoja. 

Sasa kwa nini tunaposikia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu na Mungu tuwazie au kuzungumzia tu habari ya tendo la ndoa? Bila shaka lengo linakuwa si 

kushinda kwa nguvu ya hoja bali ni kutaka tu kutoa kashfa na kuwanasa wale ambao ama hawako tayari au hawana uwezo wa kuhoji kimantiki mambo wanayoambiwa. Yaani wale wanaobeba tu mambo kishabiki. Mimi nasema Yesu ni Mwana wa Mungu – na hili si kwa kadiri ya imani, bali ni kwa kadiri ya maandiko tuliyosoma. Tofauti tu ni kuwa yeye alizaliwa kwa njia tofauti na njia ya kibinadamu tunayoifahamu. Wewe msomaji unasemaje? Kwa nini? 

Isa/Yesu ni huruma za Allah 
Quran inasema kuwa: We shall make him a sign to mankind and a mercy from Us. Yaani: Tutamfanya kuwa ishara kwa wanadamu na huruma kutoka Kwetu. (Mariam 19:21) 

Ninapenda tuangalie zaidi neno huruma (mercy). Tunafahamu bila ubishi kuwa, Mungu hashirikiani na dhambi. Na wote watendao dhambi, mwisho wao ni katika jehanamu ya moto wa milele. Hilo halina ubishi! Lakini hebu jiulize swali hili wewe mwenyewe: Je, katika kujitahidi kwangu kote, nimeweza kushinda dhambi? Yaani, sina hasira, chuki, uongo, wivu, tamaa n.k? Ni wazi hakuna mwanadamu yeyote atakayejibu, ‘Ndiyo!’ Sasa kama bado nina dhambi, mwisho wangu ni wapi? Nafikiri jibu liko wazi! Hakuna mwanadamu yeyote hapa duniani anayeweza kushinda dhambi. Hakuna! Wewe mwenyewe ni shahidi. Kutokana na ukweli huo, Mungu alifahamu kuwa, hatima ya wanadamu wote ni motoni! Kwani kila mtu si ana dhambi? Na kila mwenye dhambi lazima aende jehanamu? Sasa wa kupona ni nani? Hapa ndipo unakopatikana msingi wa huruma (mercy) ya Mungu kupitia kwa Isa/Yesu! Ndiyo maana basi Isa ni huruma ya Mungu kwetu. Lakini Isa/Yesu ni huruma ya Allah kivipi? Hapa tena ndipo linapokuja suala la waulizeni Watu wa Kitabu. Kabla Yesu hajaja duniani, wale waliopewa Torati walitakiwa kutoa damu za wanyama ili ziwe sadaka kwa ajili ya kusamehewa dhambi zao. Maana, hakuna msamaha kwa Mungu bila damu kutolewa – tena damu safi! Katika Biblia, Torati inasema, … nami nimewapa ninyi hiyo damu juu ya madhabahu, ili kufanya upatanisho juu ya nafsi zenu; kwani ni hiyo damu ifanyayo upatanisho kwa ajili ya nafsi. (Mambo ya Walawi 17:11). 

Tena imeandikwa, Na katika Torati karibu vitu vyote husafishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo. - yaani, hakuna ondoleo la dhambi au kusamehewa dhambi – (Waebrania 9:22). Kwa kuwa Mungu ni Mungu wa nyakati na majira; amepanga historia nzima ya ulimwengu katika vipindi. Nyakati hizo walikuwa wanatoa damu za wanyama kama ishara ya kile ambacho kilikuwa kinakuja. Yaani, kipindi ambacho ingetolewa sadaka moja takatifu na kamilifu kwa ajili ya dhambi za ulimwengu wote. Ndiyo maana Yesu Kristo anaitwa Mwanakondoo wa Mungu. Aliuawa msalabani ili damu yake imwagike kama kafara ya dhambi za wanadamu wote. Na ndiyo maana hakuna tena haja ya kuendelea kuchinja wanyama kila unapotenda dhambi. Yesu Kristo alikufa na kumwaga damu yake kwa niaba ya wanadamu wote ili yeyote amwaminiye na kukubali sadaka/kafara hiyo awe amelipiwa deni au hukumu yake ya jehanamu. Kama huhitaji kupokea alichokifanya Yesu Kristo msalabani kwa ajili yako, unachomwambia Mungu ni kuwa, ‘Mimi nitajua nitakakotoa damu ya kutoa ili unisamehe dhambi zangu!’ – 

maana hakuna kabisa ondoleo pasipo kumwaga damu safi! Swali ni kuwa, utaipata wapi? Kama ni ya kwako, haifai maana wanadamu wote tuna dhambi! Kwa maana nyingine ni kuwa, unapokataa damu ya Yesu iwe ni badala ya dhambi zako, unaikumbatia jehanamu moja kwa moja. Sasa, kama Yesu ametuponya na adhabu kubwa namna hiyo ya jehanamu ya moto wa milele, Je, Yesu si rehema/huruma (mercy) ya Mungu kwetu? Naomba nikuulize tena: Je, wewe huwa unamwaga damu gani safi ili usamehewe dhambi zako? Kama humwagi, utasamehewa kwa sababu gani? 

Chukua Hatua.

Njoo kwa Yesu

Wednesday, 25 October 2017

QUR'AN YAKIRI YESU NI MUNGU


Utangulizi 

Yesu Kristo ni mtu mwenye ushawishi mkubwa sana duniani kuliko mtu yeyote tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Watu wengi wanamtambua kama Mungu, hasa Wakristo. Vile vile, wako wengine wengi ambao hawamtambui kama Mungu, hasa Waislamu. Tunaweza kubishania suala la Yesu Kristo kuwa Mungu au kutokuwa Mungu hadi siku ya kiama huku kila mtu akishikilia msimamo wake. Kila upande unajaribu kutoa hoja za kutetea msimamo wake. Pamoja na kutofautiana huko, lakini jambo moja ni dhahiri. Ama wanaosema Yesu Kristo ni Mungu wako sahihi au wanaosema Yesu Kristo si Mungu wako sahihi. Basi! Haiwezekani kamwe pande zote mbili zikawa sahihi! 
Biblia inatamka wazi kwamba Yesu Kristo ni Mungu. Je, ni kweli kwamba Quran haimtambui Isa/Yesu kama Mungu? Katika kitabu hiki tutafahamu jibu la swali hili. Huenda ni jibu ambalo hulitarajii kabisa na litakufanya uwe na mtazamo mpya kabisa ambao hujawahi kuwa nao! Hatimaye, itakuwa ni juu yako kukubali maandiko au kuyakataa! Kuamini jambo ni ulichukulia kuwa ni kweli wakati hatulioni. Hata hivyo, katika kuliamini jambo hilo, huwa tunakuwa makini kutafuta ushahidi unaothibitisha kuwa tulichokiamini ni sawa au la, ili yamkini tusijekuwa tumeamini kisicho sahihi au tumeamini isivyo sahihi. 
Neno Kuhusu Kuamini 
Ni mara nyingi tumeamini maneno tuliyoambiwa na watu mbalimbali. Maneno hayo yaweza kuwa ni ahadi za mdomo, matangazo ya biashara redioni, mahubiri kwenye nyumba za ibada, n.k. Japokuwa imani si jambo baya, lakini linaweza kuwa na hatari moja kubwa. Hatari hiyo ni kwamba, watu wengine wanaweza kutumia kwa faida zao binafsi ile nia yetu nzuri ya kuwaamini. Kwa hiyo, ni jambo la muhimu sana tena sana kutafuta ushahidi au kuyapima tena na tena yale tunayoyaamini ili tusije kupata hasara mwisho wa safari 
ambapo hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha mambo hata kama tutataka kufanya hivyo. Vivyo hivyo, kwa upande wa dini ni muhimu sana kujua kile ambacho Mungu anatuagiza – tuwe Waislamu au Wakristo. Kwanza ni lazima sisi wenyewe tuwe na ufahamu kuhusu maneno ya Mungu. Tukiwa nao huo ufahamu wa maneno au maagizo ya Mungu, tutaweza kupima yale yote ambayo watu mbalimbali watatujia na kutuambia, ‘Mungu anasema hivi na hivi.’ Vinginevyo tunaweza kujikuta tumeingia kwenye mtego wa kushabikia dini badala ya kuishabikia ‘kweli’. Kama tutakuwa hatujui Mungu anasema nini, watu wasio na nia njema watatuhubiria mafundisho yasiyo sahihi na sisi tutawaamini kwa moyo wote tena kwa nia njema kabisa, kwa vile tutakuwa tukidhani 
kuwa hivyo ndivyo Mungu anavyosema. Waislamu ni watu wenye bidii sana katika kumtafuta na kumtumikia Mungu. Ni jambo la pekee sana kwa mtu kwenda kwenye nyumba ya ibada mara tano kila siku, tena kuanzia alfajiri sana wakati mwili bado unakulazimisha kulala usingizi. Ni mtu gani atakayekubali kufanya jambo kama hilo isipokuwa yule mwenye nia ya kweli ya kumtafuta Mungu? 
Tumesikia mara kadhaa watu wakijitoa muhanga maisha yao kwa ajili ya Mungu. Japo siafiki jambo hilo, lakini tukiachana na suala la kwamba ni sahihi au si sahihi kufanya hivyo, halafu tukaichunguza tu ile nia yenyewe ya kufanya hivyo, nakiri kabisa kutoka moyoni kuwa, kitendo hicho kinadhihirisha moyo mkuu na nia ya kweli ya kumtafuta Mungu. Swali linabaki tu kuwa, “Je, hivyo ndivyo kweli alivyoagiza Mungu?” Maana ni vigumu sana kuamini kuwa baba mwenye watoto kumi atafurahia na kumpongeza mwanawe mmoja atakayemjia na kusema, ‘Baba nimeua ndugu zangu wawili kama ulivyoagiza.’ Au kwamba baba mwenye wanawe atatoa amri kuwa, yule atakayeua ndugu zake nitampenda zaidi! Hata hivyo, ni lazima kutambua ukweli kwamba, tukiamini jambo lisilo sawa, hata kama nia yetu ni njema kabisa, tutaishia pabaya tu! Siku hiyo 
hatutamwambia Mungu, ‘Mimi nilidhani hivyo ndivyo ulivyosema; maana nilifundishwa hivyo.’ Kwani mtu akinywa sumu inayofanana kabisa na maji itakuwaje? Je, atakayekufa ni yule tu aliyekuwa na nia ya kujiua? Si hata yule ambaye kwa nia njema alitaka kukata kiu akidhani hayo ni maji naye atakufa? Je, nia yake njema ya kukata kiu itamwokoa na mauti? La hasha! Aliamini, lakini imani yake ilikuwa katika jambo lisilo sahihi – mauti haitamwacha hata kidogo! Vivyo hivyo, ni lazima tutambue kuwa kuna 0watu wanaosimama mbele ya wengine na kusema kuwa wanaleta ujumbe wa Mungu, lakini ukweli ni kuwa ujumbe wanaoleta si wa Mungu hata kidogo. Watu wa aina hii wapo katika dini za aina zote. Kuna watu wanaotumia dini na Jina la Mungu kutafuta umaarufu au utajiri kwa kupitia kwenye hali ya kutoelewa 
ya watu wengi au kupitia kwa wale wasiotaka kutafuta ukweli wa mambo yale wanayoambiwa. Wengine wanatafuta tu kushiba, yaani wameshindwa kutafuta fedha kwa njia zingine, hivyo wanatumia nyumba za ibada kama genge la kupatia mahitaji yao ya kila siku. Watu wa aina hii ni lazima maneno yao yatachanganywa na uongo mwingi. Ni mara ngapi tumesikia wale wanaojiita kuwa wachungaji lakini wamekamatwa na dawa za kulevya? Nirudie tena kusema kwamba wadanganyifu wanaotumia jina la Mungu kujinufaisha ni wengi na wapo katika dini zote. Ni mtu yule tu anayejua Mungu anasema nini ndiye atakayeweza kupambanua kati ya mafundisho ya kweli na mafundisho ya uongo. Mtu asiyejua maandiko yanasema nini ni lazima atadanganywa tu! Je, wewe una uhakika kuwa yale unayohubiriwa yote ni maagizo ya Mungu? 

Mambo Yanayopingana 
Tunapokuwa shuleni katika somo la lugha, huwa tunafundishwa kuhusu kinyume cha maneno. Walimu hutufundisha kuwa kinyume cha ‘simama’ ni ‘kaa’; kinyume cha ‘nzuri’ ni ‘mbaya’ n.k. Lakini kuna aina kuu mbili za kinyume, yaani kinyume kisicho kamili na kinyume kamili. KINYUME KISICHO KAMILI Kinyume kisicho kamili maana yake ni kwamba unakuwa na Neno A ambalo kinyume chake ni Neno B. Lakini hicho kinyume si kinyume ‘pekee’ cha hilo Neno A. Kwa mfano, tukiulizwa tutaje kinyume cha neno ‘mrefu’ ni rahisi tu kwa wengi kusema kuwa kinyume chake ni neno ‘mfupi’. Hata hivyo, ukichunguza maana ya neno ‘mfupi’, utakutana na ugumu wa namna fulani utakaokulazimisha kufikiria upya jibu hilo. Ni vivyo hivyo kusema kuwa kinyume cha neno ‘mkubwa’ ni ‘mdogo’. Hebu tuchunguze mfano ufuatao wa vitu vitatu, tembo, ng’ombe na kondoo. 
Ukichunguza kwa mfanohuu wazi utaona kuwa: 
(a) Tembo ni mkubwa kuliko ng’ombe. 
(b) Ng’ombe ni mdogo kuliko tembo. 
(c) Ng’ombe ni mkubwa kuliko kondoo. 
(d) Kondoo ni mdogo kuliko ng’ombe. 
Sasa, kama kinyume cha mkubwa ni mdogo, iweje basi ng’ombe awe ni mdogo na wakati huohuo ni mkubwa? Kumbe hii ina maana kuwa upande mmoja ukiwa na neno ‘mkubwa’ kinyume chake si lazima kiwe ni ‘mdogo’. Badala yake, kati ya maneno haya, unaweza kuwa na viwango mbalimbali. Ndiyo maana tunaweza kusema kondoo ni mkubwa, ng’ombe ni mkubwa zaidi na tembo ni mkubwa zaidi sana. Pia, tunaweza kusema, tembo ni mdogo, ng’ombe ni mdogo zaidi na kondoo ni mdogo zaidi sana. 
Maneno mengine yenye tabia hii ni pamoja na mrefu na mfupi, nzuri na mbaya, ghali na nafuu, mbali na karibu, n.k. Kutokana na ukweli huu, tukija upande wa mitazamo tutagundua kuwa, watu wawili wanaweza kutofautiana katika jambo na bado wote wakawa wako sahihi kabisa endapo jambo lenyewe linahusu kinyume kisicho kamili. Mathalani, mtu atakayesema kuwa Marko ni mfupi, atakuwa sahihi kabisa kwa kuwa kuna kigezo cha kweli kinachoruhusu mtazamo huo; maana inategemea anamlinganisha na nani. Na yule atakayesema kuwa Marko huyohuyo ni mrefu naye atakuwa sahihi kwa kuwa atakuwa anamlinganisha na mtu mwingine. Nguo iliyo ghali kwangu (kwa vile kipato changu ni kidogo), itakuwa bei chee kwako (kwa vile kipato chako ni kikubwa). Kwa hiyo, mimi nikisema ni bei ghali, niko sahihi na wewe ukisema ni bei chee, uko sahihi. KINYUME KAMILI Kwa upande wa pili, kinyume kamili au halisi maana yake ni kuwa, kama Neno A liko katika kundi hili, ni lazima; narudia tena, ni lazima kinyume chake kiwe ni Neno B. Si vinginevyo! Kwa mfano kinyume cha neno ‘mfu’ ni neno ‘hai’. Basi! Kama mtu hajafa, basi ni lazima atakuwa hai tu! Na kama atakuwa si hai, ni lazima awe amekufa! 
Hakuna viwango mbalimbali katika aina hii ya kinyume. Yaani, huwezi kuwa hai, hai zaidi, hai zaidi sana; au ukawa na mfu, mfu zaidi, mfu zaidi sana. Haiwezekani! Ama mtu amekufa au yuko hai. Basi! Sasa, itakuwaje pale watu wawili watakapoanza kubishana kuhusu kuku? Mmoja akasema, “E bwana ee, huyu kuku amekufa.” Mwingine akasema, “Hapana. Huyu kuku yuko hai.” Hapo utajua wazi kuwa ni mmoja tu kati yao ndiye aliye sahihi. Si wote. Hapana! Hapana! Lakini kama wakibishana kwa mmoja kusema kuwa kuku huyo ni mzuri na mwingine akasema ni mbaya, wote watakuwa sahihi. TOFAUTI YA UISLAMU NA UKRISTO Yapo mambo kadhaa ambayo kwayo Waislamu na Wakristo wanakinzana au kupingana. Katika mambo yale yanayohusu kinyume kisicho kamili kama tulivyoona hapo juu, wanaweza kukinzana na bado wote wakawa sahihi. Hivyo, yapo mambo ambayo yanahusu aina ya pili ya kinyume, yaani kinyume kamili. Haiwezekani hata kidogo wote wakawa sahihi. Ama Waislamu watakuwa sahihi au Wakristo watakuwa sahihi katika mambo ya aina hiyo. Basi! Mambo yanayohusu kinyume kamili yanaweza kuwa mengi, lakini ifuatayo ni orodha fupi inayohusu baadhi yake: 
(a) Waislamu wanasema Isa/Yesu hakufa; Wakristo wanasema alikufa. 
(b) Waislamu wanasema Isa/Yesu si Mungu; Wakristo wanasema ni Mungu. 
(c) Waislamu wanasema majini wazuri wapo; Wakristo wanasema majini wazuri hakuna. 
(d) Waislamu wanasema Ibrahimu aliambiwa amtoe kafara Ishmael; Wakristo wanasema Ibrahimu aliambiwa amtoe Isaka. 
(e) Waislamu wanasema ndoa si lazima iwe ya mke mmoja; Wakristo wanasema ndoa ni lazima iwe ya mke mmoja. 
(f) Waislamu wanasema matendo mema ndiyo msingi wa kutuingiza mbinguni (peponi) na kutuepusha na jehanamu; Wakristo wanasema matendo mema kamwe si msingi wa kutuingiza mbinguni na kutuepusha na jehanamu. 
Haya ni baadhi ya mambo ya msingi kabisa katika maisha ya imani. Swali kuu la kujiuliza ni kuwa, “Inawezekanaje pande zote mbili zikawa sahihi katika mambo haya?” Jibu ni wazi tu, Haiwezekani! Upande mmoja tu ndio utakaokuwa sahihi. Ama ni Uislamu au ni Ukristo! Kwa mfano, haiwezekani hata kidogo ikawa kwamba Isa/Yesu alikufa na wakati huo huo hakufa. Jibu ni moja tu. Ama alikufa au hakufa. Ama Uislamu uko sahihi au Ukristo uko sahihi. Basi! Si pande zote mbili. Hapana! 

Vilevile, haiwezekani Waislamu wakasema Ibrahimu hakuambiwa amtoe Isaka kuwa kafara; na Wakristo wakasema Ibrahimu hakuambiwa amtoe Ishmaeli kafara; halafu wote wakawa sahihi. Hapa ni upande mmoja tu utakuwa sahihi. Si pande zote! Ni juu yako wewe na mimi kuitafuta kweli. Haya si mambo yanayohusu utajiri na heshima ambayo ni mambo ya hapa hapa duniani. Maana utajiri au heshima ukiupoteza waweza kuupata tena. Lakini, mambo haya yanahusu uzima wa milele; au mauti ya milele. Ndiyo yanayoamua mimi na wewe tutakuwa mbinguni milele au jehanamu milele. Milele! Basi, hata ukiamua kuamini, ni vema ukawa na majibu ya kujiridhisha wewe mwenyewe kuhusu masuala kama haya. Usiishie tu kusema, ‘Mimi naamini tu.’ Ukiulizwa, au hata ukijiuliza mwenyewe kwa nini unaamini hivyo, kisha ukasema, ‘Naamini tu’, ni wazi hapo kuna hatari ya kuangamia milele – uwe Muislamu, Mkristo au imani nyingine yoyote. Kwa upande wa Wakristo, wao wanaambiwa na maandiko kuwa, “Msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.” (1Yohana 4:1). 

Hapa haimaanishi kujaribu mambo yanayosemwa na wasio Wakristo. Hapana! Ni pamoja na yale yanayosemwa na wahubiri wakubwa na maarufu wa Kikristo. Ukishamsikiliza ni lazima upime na kuchunguza yale aliyokuhubiria kama ni ya Mungu, bila kujali mhubiri huyo ni maarufu kiasi gani. Maadamu yeye ni mwanadamu, bado anaweza kuingiza na ya kwake. Usipopima, uko kwenye hatari ya kupotoshwa. Sasa unapimaje roho? Unasoma maandiko ya Mungu wewe mwenyewe, ili atakapokuja mtu anakuambia Mungu anasema hivi na hivi, uweze kujua kuwa ni kweli au si kweli. Usipojua maandiko, hutajua hata kidogo pale mtu atakapokuhubiria, kumbe anahubiri mambo kutoka tu moyoni mwake. 
Imani, kimsingi ni kukubali kwamba kitu au jambo fulani lipo wakati hatulioni. Kwa mfano, kwa kuwa tunakubali kuwa Mungu yupo, na kwa vile hatumuoni, hiyo ni imani; tunaamini au tuna imani juu ya kuwapo kwa Mungu. Huwezi kusema kuwa unaamini kuwa una kichwa, maana hicho unakiona! 
Thamani ya Imani Sahihi 

Imani juu ya Mungu ni kitu chenye thamani kuliko kitu kingine chochote maishani. Hii ni kwa sababu, maisha ni ya muda lakini Mungu ni wa milele na milele na milele! Hivyo, imani, ama itanipeleka mbinguni milele au motoni milele. Na tukishatoka katika dunia hii, hatutapata nafasi tena ya kurekebisha mambo! Kwa hiyo, ni muhimu sana kufamu vyema kile ambacho mtu anakiamini ili tusije tukaishi kwa hasara na kuishia kujuta milele. Ni vema basi kila mmoja wetu akajiuliza swali lifuatalo: Je, kila ninachokiamini ndicho anachosema Mungu au vingine ni maagizo ya wanadamu? Kwa njia ya imani tunaponya roho zetu, yaani uhai wetu; au tunazipoteza milele. Imani sahihi ni jambo ambalo thamani yake inapita kila utajiri unaoweza kuufikiria. Wakati wa majira ya Krismasi ya mwaka 2007, shekhe mmoja maarufu jijini Dar es Salaam katika kipindi chake kimoja cha televisheni alisema kuwa, Isa/Yesu si wa Wakristo peke yao, bali ni wa Waislamu pia. Mimi hilo neno lilinipa changamoto kubwa. Katika kufuatilia, nikagundua ukweli mwingi sana kuhusu maneno ya shekhe huyo kuliko ambavyo nilitarajia. Kumbe Quran inamtaja Yesu Kristo kwa uzito sana, pengine kuliko ambavyo wengi tunafahamu; kuliko ambavyo tumeelezwa au tunaweza kuamini! Sasa nikabaki najiuliza: Tunaachania wapi? Mivutano inatoka wapi? Je, ni wangapi wanaufahamu ukweli wote? Basi katika kijitabu hiki kidogo, nitatumia rejea za lugha ya Kiingereza ambazo nitazitafsiri kwa Kiswahili. Rejea hizo zinatoka katika (ninanukuu Kitabu hicho kilivyoandikwa): “The Quran, An English Translation of the Meaning of the Quran; Checked and Revised by Mahmud Y. Zayid; Assisted by a Committee of Muslim Scholars; Approved by the Supreme Sunni and Shii Councils of the Republic of Lebanon, Dar Al-Choura; First Edition 1980.” (Mwisho wa kunukuu). 
Yaani, “Quran, Tafsiri ya Kiingereza ya Maana ya Quran; Iliyochekiwa na kusahihishwa na Mahmud Y. Zayid; Akisaidiwa na Kamati ya Wasomi wa Kiislamu; Imeidhinishwa na Mabaraza Makuu ya Kisuni na Kishia ya Jamhuri ya Lebanoni, Dar Al-Choura; Toleo la Kwanza 1980.” Kwa hiyo, marejeo haya yanatokana na Kitabu cha Quran ambacho kimehakikiwa na wanazuoni waliobobea katika kazi waliyoifanya. 

Quran Isemavyo Kuhusu Torati 
na Injili 
Kabla ya kuletwa kwa Quran, kulikuwa na vitabu vingine vya Mungu walivyoletewa wanadamu. Lakini kabla ya yote, hebu tuone Allah anasemaje ndani ya Quran yenyewe: Allah! There is no god but Him, the Living, the Ever-existent One. He has revealed to you the Book with the truth confirming what preceded it; and He has already revealed the Torah and the Gospel for the guidance of men, and for the distinction between right and wrong. 
Yaani: Allah! Hakuna mungu isipokuwa Yeye, aliye hai na wa milele. Amewafunulia kitabu chenye ukweli kinachothibitisha yale yaliyokitangulia; na ameshafunua Torati na Injili kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, na kwa ajili ya kutofautisha kati ya jema na baya. (Al- Imran 3:2-3) Hapa tunajifunza jambo moja muhimu kwamba kumbe Quran ni Kitabu chenye ukweli. Hapa Allah anachosema ni kuwa, kila kitu Quran inachokisema ni kweli. Ikisema kuwa Wakristo wa kweli ni viumbe bora kuliko viumbe wote duniani, basi, kwa kadiri ya aya hii, hilo ni kweli maana kila ikisemacho ni kweli. Lakini pia, aya hii inatufundisha mambo mengine mawili muhimu, kwamba: 
(i) Kwanza, Quran ipo pia kwa ajili ya kuthibitisha Torati na Injili (Torati ni Agano la Kale na Injili ni Agano Jipya katika Biblia). 
(ii) Torati na Injili zinawaongoza wanadamu (si Wakristo) katika kujua lipi jema na lipi baya. 
Kuna aya kadhaa zingine zinazotudhihirishia kuwa Torati na Injili ni vitabu vya muhimu sana: 
Sura ya Al-Nisa 4:136 inasema: 
O believers, have faith in Allah and His Apostle, in the Book He has revealed to His Apostle, and in the Book He formely revealed. 
Yaani: Enyi mlioamini, iweni na imani kwa Allah na Mtume wake, na kwa Kitabu alichomfunulia Mtume wake, na kwa Kitabu alichokifunua kabla. Tunachojifunza hapa ni kuwa, kumbe tunatakiwa pia kuamini Kitabu kilichotangulia, alichokifunua kabla, yaani Torati na Injili. Na kwa vile tumeona kuwa Quran ni Kitabu chenye ukweli, basi neno hili halina ubishi kabisa. Ni neno la kuaminiwa. Je, wewe unakifahamu kilichoandikwa katika Torati na Injili? Kama sivyo, unaagizwa ukifahamu. 
Sura ya Al- Ahqaf 46:12 nasema: 
Yet before it there was the Book of Musa, a guide and a blessing to all men. This Book confirms it. Yaani: Na bado, kabla yake kulikuwa na Kitabu cha Musa, mwongozo na 
baraka kwa wanadamu wote. Kitabu hiki kinakithibitisha. 
Sura ya Yunus 10:37) inasema: 
This Quran could not have been composed by any but Allah. It confirms what was revealed before it and fully explains what was revealed before it and fully explains the Scriptures. There no doubt about it from the Lord of the creation. Yaani: Quran hii haikuandikwa na yeyote isipokuwa Allah. Inathibitisha kilichofunuliwa kabla yake na inaeleza kwa ukamilifu kilichofunuliwa kabla yake na inaeleza maandiko kwa ukamilifu. Hakuna shaka kuihusu kutoka kwa Bwana wa uumbaji wote. Katika aya hii ya Yunus 10:37, pia tunaambiwa mambo muhimu mawili kuwa: 
(i) Quran inatoa uthibitisho wa kile kilichotanguliayaani Torati na Injili. 
(ii) Quran inachokisema ni kweli na hakina shaka. 
Kwa hiyo, kumbe Quran inatambua kuwa Torati na Injili ni vitabu au maandiko ya muhimu kabisa. Ndiyo maana inasema kwamba: If you are in doubt of what We have revealed to you, ask those who have read the Book before you. Yaani: Endapo mna shaka juu ya yale tuliyowafunulia, waulizeni wale waliosoma Kitabu kabla yenu. (Yunus 10:94). Ni wazi kwamba, Kitabu hapa ni Torati na Injili na waliokisoma ni Wakristo. 
UMUHIMU WA KUWAULIZA WAKRISTO Lakini kwa nini kuwauliza Wakristo? Quran yenyewe isiyokuwa na shaka 
kama inavyojishuhudia, inatupa jibu la kwa nini kuwauliza Wakristo. Inasema: The unbelievers among the People of the Book and the pagans shall burn forever in the fire of Hell. They are the vilest of all the creatures. But those that embrace the faith and do good works are the noblest of all creatures. Yaani: Wale wasioamini miongoni mwa Watu wa Kitabu na wapagani wataungua milele katika moto wa jehanamu. Hao ni waovu kuliko viumbe wote. Lakini wale wanaoikumbatia imani na kutenda mema ni waadilifu kuliko viumbe wote. (Al-Bayyina 98:6-7). Aya hii inaeleza kwamba, miongoni mwa Watu wa Kitabu, yaani watu wanaoamini Biblia, kuna waamini wa kweli na wale wanaojiita Wakristo lakini hawaamini. Ni Wakristo jina tu. 
Basi, hawa Wakristo jina pamoja na wapagani wataingia jehanamu milele. Lakini Quran inasema, Wakristo wa kweli ni viumbe wema kuliko viumbe wote wa Mungu. 
Kwa hiyo, kumbe ni jambo la faida kuwauliza Wakristo wanaokumbatia imani yao sawasawa kwa kuwa ni waadilifu, yaani ni wema na wenye haki. Tena tumeona kuwa Quran inawasema kuwa ni waadilifu kuliko viumbe wote aliowaumba Mungu. Wote!! Sasa ni mtu gani ambaye hangependa kupata kilicho bora kuliko vyote? Wakristo wa kweli ni wale Wakristo ambao Quran inasema kuwa: Among the People of the Book, there are some who, if you trust them with a heap of gold, will return it to you intact, and there are others who, if you trust them with one dinar, will not hand it back unless you demand it with importunity. Yaani: Miongoni mwa Watu wa Kitabu, wapo baadhi ambao ukimkabidhi rundo la dhahabu, atakurudishia likiwa kamili, na kuna wengine ambao, ukimpa dinari moja hakurudishii isipokuwa umemghasi kwa kumdai tena na tena. (Al-Imran 3:75). Hii ni kweli kabisa. Wala hili halina ubishi kwa mtu yeyote anayeipenda kweli. Kwa hiyo, kumbe basi tunaona jinsi ambavyo Quran inawathamini Wakristo walio waaminifu na kuwaambia wanaomwamini Allah kuwa, wawaulize hao pale wanapokuwa na shaka. Kwa maana nyingine pia ni kuwa wanatakiwa wasome Torati na Injili. Katika kuhitimisha sehemu hii ya “Quran Isemavyo Kuhusu Torati na Injili”, tumetambua kuwa, kumbe Quran ambacho ni Kitabu kisicho na shaka, inawaagiza Waamini wake kuwa, wanatakiwa kuamini Torati na Injili kwani inasema: O believers, have faith in Allah and His Apostle, in the Book He has revealed to His Apostle, and in the Book He formerly revealed. Yaani: Enyi mlioamini, iweni na imani kwa Allah, na kwa Kitabu alichomfunulia Mtume wake, na kwa Kitabu alichokifunua kabla. (Al-Nisa 4:136) Na Kitabu alichofunua kabla ni Torati ya Musa na Injili ya Isa/Yesu. 

Itaendelea

Tuesday, 10 October 2017

Biblia inamaanisha nini inaposema 'Ninyi ni miungu'?


Hebu tuanze na kuangalia Zaburi 82, Zaburi ambayo Yesu anainukuu katika Yohana 10:34. Neno la Kiyahudi lililotafsiriwa "miungu" katika Zaburi 82: 6 ni elohim. Kwa kawaida linahusu Mungu mmoja wa kweli, lakini ni gani matumizi mengine. Zaburi 82: 1 anasema, "Mungu ataongoza katika mkutano mkubwa; yeye anatoa hukumu kati ya miungu." Ni wazi kwamba kutoka katika mstari mitatu ifuatayo neno "miungu" ina maana ya mahakimu, majaji, na watu wengine ambao 

MUHAMMAD MPAKA WANJA

 

Wengi tunajua vipodozi kama wanja,Rangi ya mdomo na Urembo wakubadirisha rangi ya ngozi Hutumia zaidi wanawake.lakini kabla ya kujiuliza shaka hii kubwa,Lazima Tujue historia ya kupaka wanja ,na rangi mdomoni ilianza lini?.zamani sana na inasadikikia mambo haya yalianza Huko Uarabuni,wanawake wa Kimisri wakiwa Hodari kwenye kujipakapaka Huko.Hii ilikuwa Tamaduni ambayo ilikuwa inamaana kubwa kwa jamii.kwa mfano Tunaweza Ona jamii za kiafrika kama wanyamwezi,wadigo,wabondei iwapo Binti anakaribia kuvunja ungo,humweka ndani na kumpaka majivu na baada ya kutoka mabibi humpaka wanja na kwa kitendo hiki huashiria kwamba Binti Huyo yuko Tayari kwa ajili yakupata Bwana,Hivyohivyo Uarabuni.

TAHADHARI ZA MKRISTO NA MTUMISHI


Mara nyingi tumejifunza kutoogopa chochote kwa sababu ya Biblia inasema mara365 kwamba tusiogope.Ni vema kutoogopa kwasababu Hofu ni aduii muhimu wa Imani.lakini katika Imani tahadhari ni muhimu kwa sababu kuishi bila tahadhari unaweza kuishi bila Utaratibu.Nakuishi Bila utaratibu kunaweza kutupeleka kwenye Uharibifu.Ndio maana Yesu alisema Jiangalieni na pia akasema jilindeni na choyo,kwahyo kujiangalia na kujilinda ni Muhimu.

ALLAH NI MUNGU BANDIA

 

Salamu ndugu zangu katika jina la Yesu Kristo. Leo niko hapa kusema na wewe kuhusu Mungu
wetu na mungu wa waislamu kama ni mmoja yule yule au ni wawili tofauti.

Yamekuwepo maneno ya wanasiasa katika kutafuta namna ya kuiunganisha jamii kisiasa wakiwadanganya kwamba Mungu wa wakristo na Mungu wa waislamu ni mmoja! na wanasema hivi si kwa sababu hawajuwi ila wanakwepa kuwepo kwa mpasuko wa kidini bayana ya jamii wanayoiongoza.

Uroho na Tamaa ya Ngono Vilimfanya Mohammad Ashindwe Kuvumilia


ALIPOWAONA VITOTO VICHANGA VYA KIKE…
Ibn Ishaq: Suhayli, 2.79: katika Riwaya ya Yunus Ibn Ishaq, imenukuliwa kuwa mtume aliona Ummu’l-Fadl, alipokuwa kitoto kichanga kikitambaa chini mbele yake na mtume akasema, “akikuwa mkubwa, na wakati ningali mzima, nitamuoa.”
Mohammad aliona Um Habiba binti wa Abbas akiwa bado mchanga na akasema, “akiwa
mkubwa na ningali mzima nitamuoa.”
Astaghfillurah

UVULI WA MAUTI


Baba Yangu alifariki kwa ugonjwa wa Moyo.kwenye kitanda cha Hospitali,alikuwa anaagaagaa kwa maumivu makali huku nikiwa nimesimama karibu Naye “Mwanangu niombee,niokoke”alisema kitu ambacho hakuwah kuniomba hapo kabla.sikuwah kuwahi kumwona akiomba,au mtu amuombee.Hakuwahi kukiri dini yake ni dhaifu waziwazi,sikujua nini kimemtokea au aliona nini.jambo moja tu Kutii.

Ushuhuda Wangu kwa nini Niliacha Ushekhe


UTANGULIZI
*Zipo shuhuda nyingi za dini tofauti na madhehebu tofauti,tafadhali tenga mda kusoma ushuhuda Huu na muombe Mungu Akuongoze Ili Upate Kuelewa Kweli Ya Mungu.
*Jina Langu Kamili Naitwa Abubakar Rashid Jina Langu La Kubatizwa Naitwa Paul Rashid Kutokana Na Usalama Wangu Umu Mtandaoni,iwe Fb/blog/page Natumia Sheikh Eden Hazard.

NI YESU AU ALLAH?


Nami pia nilikuwa katika mtazamo Huu wa utata….nichague Lipi?Yesu au Allah?ni yupi Mungu wa kweli,nilikuwa pekee yangu chumbani,nikiwanimepiga magoti pembeni ya Dirisha na kuanza kuomba “Allah..Allah…Allah My Lord,Allah….My King,kwanini umenifanyia Hivi,mimi ni mjumbe wako lakini kwanini umeniweka na makafir, wayahud na wakristo nyumba moja?Nimechanganyikiwa,Allah…..hawa watu wanamahusiano na Mungu wao,Hawa watu wanalia na kuomba kwa Mungu wao na anawajibu!Allah nataka nikusikieeee…nataka nisikie sauti yako kama unanipenda,nataka nisikie kama upo.(katika hali ya hunzuni sana)

Ahukumiwa Kifo kwa Kukatwa Kichwa Baada ya Kutoa Ushuzi Mfululizo Akiwa Msikitini Wakati wa Mfungo wa Ramadhan


Gazeti la WorldNews Daily (h/t Phil S): Hakimu wa Pakistan amemuhukumu kifo bwana Muhammad Al-Wahabi pichani, baada ya kutoa ushuzi/kujamba kwa mfululizo wakati wa mfungo wa ramadhani. Mtuhumiwa huyu, alifukuzwa mara 17 kutoka misikiti 6 tofauti kwa tabia hii ya kujamba kwa mfululizo wakati wa swala msikini.

MUHAMMAD MTUME BANDIA


Waislam watabisha kuhusu utume bandia wa Muhammad ila wengi tunajua kwa ushahidi kuwa muhaamada alikuwa hajawah na hatakuja kuwah kuwa mtume wa Mwenyenzi Mungu Bali ni mtume Bandia yaani utume wa kutungwa kama taarabu.Tukiangalia historia ya muhaamad...Muhammad alipotimiza umri wa miaka 38kutokana na maisha magumu ,alihama toka nyumbani kwake, akahamia katika mapango(JABAL HIRA) yaliyokuwa hapo karibu na mji wa Makka. Alipofikisha umri wa miaka 40 siku moja alitokewa na kiumbe ambacho Waislamu leo wanakiit Malaika Jibril.

YESU NI MUNGU MKUU

Image result for Jesus the great God

Kama mwana wa simba ni simba, basi hakuna kosa lolote kwa mtu mwenye akili timamu kusema kuwa “Mwana wa Mungu ni Mungu.” Huu ni ukweli ambao mtu haitajiki kwenda chuo kikuu kuufahamu, maana hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanaelewa kuwa mtoto wa panya ni panya.

Maneno haya yamekuwa yakizua utata usiokuwa na maana kwani wako wengine wasiotaka kusikia Yesu akiitwa Mwana wa Mungu wachilia mbali kumwita yeye ni Mungu.

UISLAM UNARUHUSU TIGO?


“Mimi naitwa Michael. Nimeoa yapata mwenzi mmoja sasa mke wangu yeye ni muislam. Nimegundua ya kwamba mke wangu hafurahii jinsi tunavyofanya tendo la Ndoa, Nilinzungumza naye ili kuniweka wazi juu ya tatizo hili. Baada ya kuongea naye kwa muda mrefu aliniambia kwamba Kabla ya kuoana na mimi alikuwa na Bwana wake ambaye alimuzoesha kufanya kinyume na maumbile yaani (kumla Tigo) na kwamba alikuwa na mipango ya kuniacha na kwenda kwa Bwana wake kumtimizia Tendo la Tigo. Unanishauri vipi!maana nampenda mke wangu, ingawa mimi sijaokoka lakini najua kwenye dini yangu ya Ukristo jambo Hili limekatazwa na ni laana kubwa lakini wao wameruhusiwa. Nampenda mke wangu na kumuacha siwezi. Je nimtimizie tendo analohitaji ili niokoe ndoa yangu?”

UFANYAJE UNAPOHISI HISIA ZA NGONO


Kelly anasema: “Mimi hushawishiwa sana kufanya ngono ya kujichua pale tu napohisi kufanya ngono. Nadhani hiyo ni asili yetu sote. Kila mahali unapoenda unahisi kujitosheleza Tu pale unapohisi ngono!”

Je, Nabii Musa Alimtwanga Malaika wa Mauti Ngumi?


Hili ni swali la muhimu la kujiuliza ili kuondoa shaka mioyoni mwetu,kwa kuwa tunatofautiana uelewa wa mambo mbalimbali kama wanadamu basi yatupasa kusaidia pale tu mtu mwingine anapotatizwa na jambo ambalo liko mbele yake.kwakuwa huwa sipendi kukaa kimya, maana ukimya ni ishara ya ujinga na kutofikia kusudi,lazima nijifunze mambo kadhaa wa kadhaa kuhusu uislam ili nielewe ni wapi sahihi au ni wapi si sahihi?