UTANGULIZI
*Zipo shuhuda nyingi za dini tofauti na madhehebu tofauti,tafadhali tenga mda kusoma ushuhuda Huu na muombe Mungu Akuongoze Ili Upate Kuelewa Kweli Ya Mungu.
*Zipo shuhuda nyingi za dini tofauti na madhehebu tofauti,tafadhali tenga mda kusoma ushuhuda Huu na muombe Mungu Akuongoze Ili Upate Kuelewa Kweli Ya Mungu.
*Jina Langu Kamili Naitwa Abubakar Rashid Jina Langu La Kubatizwa Naitwa Paul Rashid Kutokana Na Usalama Wangu Umu Mtandaoni,iwe Fb/blog/page Natumia Sheikh Eden Hazard.
SEHEMU YA 1
mimi nimtoto wa pili kati ya watoto saba Wa Mzee Ramadhani Rashid Na Bi Asha Salum Katika Watoto Saba Watano Ni Masheikh Wawili Ni Waislam Wa Kawaida.Nilifundishwa Madrasa Na Sheik Husein Said Pale Ilala.

Katika Maisha Yangu Ya Kislamu Nilikuwa Mwaminifu Wa Kislam Ambye Nilifuata Na Kuishi Na Mafundisho Ya Uislam Katika Kila Eneo La Maisha Yangu. Mafundisho Hayo Yalikuwa Pamoja Na Imani Yangu.
*kwamba Uislam Ndio Dini Ya Mwisho Wa Dunia
*kwamba Ndiyo Dini Pekee Inayomkubali Mungu
*kwamba Ndiyo Njia Ya Kwenda Mbinguni
*kwamba Wale Wasiokubali Uislam Wanakwenda Jehanam Paka Watakapomkubali Allah
*Wakovu Kwa Muislam Ni Kufa Kwa Ajili Ya Uislam
*Yesu Si Mungu Au Mwana Wa Mungu.

Lakini jambo lenye Nguvu Zaidi Ambalo Nilijifunza Katika Makuzi Yangu Ni Kuwa Na Chuki Dhidi Ya Wale Wote Wasiomwabudu Allah.Wasiomfuata Muhammad;ikiwa Pamoja Na Wakristo Na Wayahudi Kwa Lugha Rahisi Ni Kwamba Nilikuwa Adui Wa Wakristo.
Katika Umri Wa Miaka12 Nilikuwa Nishakariri Nusu Qur'an Lengo Langu Lilikuwa Kitabu Chote Maana Huwa Tunafundishwa Kukariri Qur'an Kunasaidia Kufunika Baadhi Ya Dhambi Na Kuboresha Matendo.
] Mapema Mwaka1980 Nilikuwa Niko Tayari Kwa Ajili Ya Allah Kwa Kundi Kubwa Waliokuwa Wana Kwenda #afughanistani Kupigana Na Umoja Wa #KisovietTukiwa Upande Wa Osama Bin Laden Ambye Kwa Alikuwa Wa Kuigwa Lakini Dhumuni Hili Halikutimia Baada Ya Mama Yangu Kunikataza.
*lakini Kadri Nilivyoendelea Kukua Nilianza Kutafakari Na Kuelewa Lugha Ya Qur'an Zaidi Na Ndani Yake Ni
liona Ujumbe Wa Chuki Dhidi Wa Sio Amini Jambo Ambalo Sikujisikia Amani Nalo Na Sikulipenda Kamwe.Na Wala Sikuweza Kulielewa Au Kulihalalisha.
Sikuweza Kulielewa Kwanini Mungu Awe Na Chuki Dhidi Wasio Amini Na Sikulipenda Kamwe,niliaminiKuwa Huruma Ya Mungu Vinatakiwa Kuwa Vikubwa Zaidi Ya Hapo.Lakini Kuhusu Mawazo Na Mashaka Yangu Yangenisababishia Matatizo Makubwa Sana
(maana Adhabu Na Kufuru Dhidi Ya Allah Na Uislam Ni Kifo)
(maana Adhabu Na Kufuru Dhidi Ya Allah Na Uislam Ni Kifo)
Siku1 Nilipokuwa Nikiomba Nilihisi Roho Ya Kipepo Imenivamia.Nikasema Kuwa Nahitaji Msaada.Nikaanza Kuliita Jina La Allah;nikaita Jina La Mtume Muhammad Na Maimamu Wote Kama Mwislamu Wa Kishia Kila Aya Ya Qur'an Niliyo Soma,haikunisaidia.
Ilifiki Mahali Ambapo Niliita
Hudaa,Mungu Nisaidie
Ilifiki Mahali Ambapo Niliita
Hudaa,Mungu Nisaidie
Na Masai Mara Molell Niliposema Hvyo Nilisikia Sauti Ikasema Ita Jina La Yesu
Kusema Kweli Wakati Ule Sikuzingatia Sana.Maana Nilikuwa Ni Mtu Anayezama Majini
Nikasema "Yesu Kama Wewe Ni Wa Kweli Nataka Nikuone"
Na Sijui Kwanini Nilisema Maneno Hayo
*mara Nilipomaliza Kusema Maneno Hayo:mara Kila Kitu Kilirudi Kwenye Hali Ya Kawaida.
Na Sijui Kwanini Nilisema Maneno Hayo
*mara Nilipomaliza Kusema Maneno Hayo:mara Kila Kitu Kilirudi Kwenye Hali Ya Kawaida.
Sasa,hilo Sio Lilonifanya Niokoke.Huo Ulikuwa Mwanzo tu.
Niliwaza Kwanin Yesu Anisaidie Mim Mwislamu??
Niliwaza Kwanin Yesu Anisaidie Mim Mwislamu??
******************************************
Ushuhuda huu wa maisha yangu upo kwenye Kitabu sasa,unawezapata kwa urefu sana juu ya matukio yote yalionipata katika harakati za kujua ukweli sahihi juu ya uislam na ukristo.
wasiliana namimi nikupatikie kitabu cha Ushuhuda wangu "KWANINI NILIACHA UISHEIKH"
wasiliana namimi nikupatikie kitabu cha Ushuhuda wangu "KWANINI NILIACHA UISHEIKH"
Karibuni.
No comments:
Post a Comment