Niseme mapema kwamba nimechoka na kelele ambazo waislam wamekuwa wakitupigia masikioni mwetu na kututaka kutuaminisha kuwa Quran ni kitabu cha Mwenyenzi Mungu,jambo ambalo siwezi kulikubali bila kulifanyia utafiti,maana waislam wamekuwa wakiongea kama waimba taarabu, yaani kuongea bila kuleta udhibitisho wa kile wanachokisema jambo ambalo mkristo yeyote makini hawezi kukubali jambo bila kupata udhibitisho hakinifu.
Lakini jambo moja la kushangaza waislam wenyewe wamekuwa wakwanza kutojua hata kitabu chao wanachokiamini, kama woote tunavyofahamu kuwa dunia ziko dini nyingi sana na zote zina vitabu vyake vitakatifu vinavyodaiwa kuwa ni Neno la Mungu na kuwa ndio mamlaka ya Mwisho ya Dini hizo wahindu wanakitabu chao kiitwacho (Vedas),na sickhiisn (adigranth), confunsian (analets), shinto (Nihong), Na Budha (Dharma), na Judaism(Torati),islamQuran)na sisi wakristo ni Biblia agano jipya na la Kale, na kila mmoja anaamini kuwa Neno la Mungu katika eneo hili tutakuwa tukijiuliza swali Je Quran ni Neno la Mungu au cha shetani?
Ili kujua lazima Tufanye upembezi yakinifu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo:
Jinsi Quran ilivyopatikana na Muundo wake
Jinsi Quran inavyopotosha kweli ya Biblia
Jinsi Quran inavyomuelezea Yesu masihi.
Jinsi Quran inavyojichanganya Yenyewe.
Jinsi Quran inavyopotosha kweli ya Biblia
Jinsi Quran inavyomuelezea Yesu masihi.
Jinsi Quran inavyojichanganya Yenyewe.
Jinsi Quran ilivyopatikana na Muundo wake.
Kabla ya kuchambua jinsi Quran ilivyopatikana ni muhimu Kujikumbusha kwamba Quran ni nini?
Quran ndio kitabu kitakatifu na mamlaka ya mwisho kwa waislam,Quran ni neno la kiarabu cha kikuresh Lenye maana ya ''Reaction'' yaani yaliyo Kaririwa,Quran ilitokana na aya alizokuwa akizitoa Marehemu Muhammad kwa kudai kuwa zilitoka kwa Allah kupitia Malaika Jibril,tangu alpomkaba na kumuamuru kuikariri na kumwambia ''Igraaa-bism-rabik''yaani soma na ukariri,Muhammad aliendelea kutoa aya hizo kwa miaka23,waislam huamini kuwa aya hizo zilitolewa kipandekipande toka katika kitabu halisi kilichoko Mbinguni,Muhammad alitoa Aya hizo kwa kuzisema kwa maswahaba wake ambao walizikariri kichwani (Hawakuwa wanajua kusoma wala kuandika)baada ya kifo chake Muhammad aya hizo zilikusanywa toka kwa maswahaba mbalimbali katika kitabu vya hadithi ambavyo pia hutumika katika kutafasiri quran.
Muhammad Alipokea aya hizo za Quran kwa Namba zifuatazi(aya au wahyi)
Kwa mujibu wa vyanzo vya kislam muhammad alipokuwa akipokea aya hizo alikuwa anavamiwa na Nguvu za Giza/mapepo zilizomuathiri sana na kumpa shida sana kama inavyokua kwa mgonjwa wa Kifafa.aliunguruma kama mtoto wa ngamia Huku akitoa Povu mdomoni,alitisha na kutia Huruma hali hizi zilikuwa zikimpata kila alipikuwa anatoka kutoa aya hizo,wanasena wakati mwingine alikuwa anaanza kusikia mlio kama kundi kubwa la nyuki likimjia vinaeleza vyanzo Hivyo vya kiislan!Jambo lililopolelekea watu waliomuona kumpa Majina ya fuatayo.

(i)walimuita aliyepagawa au mwendawazimu(surat as-saafat 37;35-36,dukhan44;13-14,at tur 52:29,qalam 68;1-2,takwyr81:22).
(ii)walimuita mchawi/mwanga (yunus10:2,surat sad 38;4,az-zumar39:41)
(iii)Wengine walifikiri amelogwa (Ban israel17;47-48,fur-qan25:4-5,8)
(iii)Wengine walifikiri amelogwa (Ban israel17;47-48,fur-qan25:4-5,8)
(iv)Aliitwa pia mpiga ramli au mtunga mashairi (Tur52;29,haqqah39:41)
Muhammad alidai pia kuletewa aya hizo na malaika Jibril ambae kwa mujibu wa Quran ndie malaika mkuu,wakati mwingine alidai kusikia sauti ikimpa aya, wakati mwingine alitoa aya hizo moyoni mwake au alioteshwa ndoto au kupewa ufunuo (surat nasm53:1-11)
Muhammad alihubiri Quran na mafundisho yake na kupata matokeo hafifu sana Hali hii ulimsikitisha sana hususani pale makka ambapo watu walimpinga sana akiwemo Baba yake mdogo Abu Lahib na hivyo alimlaani na kumtaja kama mtu wa motoni kwa muongozo wa Allah soma kitabu cha maisha ya Nabii Muhammad uk19 kifungu cha mwisho na uk20 kifungu cha kwanza na cha pilu.Baada ya Upinzani mkali Muhammad apatane na watu wa makka alibadikisha aya na kuleta aya inayotambua Miungu ya Ndugu zake aya hiyo husomeka hivi.
..."Je mumewaona lat ,uzza na manta?Hawa watatu maombi yao (wanayowaombea)ni yakutumainiwa (surat sad 38:5-7).Miungu hiyo ni ile iliyoabudiwa na wapagani na pale makka na kufanyiwa Hijja.
Alipoulizwa kigeugeu chake cha Kubadilisha Aya mara kwa mara alidai kuwa zilitoka kwa shetani hivyo Jibril aliiondoa Sehemu ya pili ya aya hiyo hivyo sasa inasomeka Hivi(surat nasm 53;19-20) Hivyo ndani ya Quran ziko aya nyingi sana zinazopingana na nyingine zimebadilishwa na watu kama tutajavyoona Mbeleni.
Mungu wa Muhammad mwenyewe alikuwa kigeugeu kwa kumletea aya na kuzibadili mfano (al-baqara 2;106,an-nahul16;101) Hivyo Muhammad alibadili aya za quran katika maeneo mengi na kubadili nyingine,aya zilizoondolewa ziliitwa ''Mabsukh''na zile zilizokuja kubadili nyingine ziliitwa ''Nasikh" Hizi ni aya zilizo karabatiwa bahati mbaya aya zote hizo zimo katika quran na zikubadilishwa zinakadiriwa kufikia kati ya"5-100" kwa mujibu wa mwanazuoni wa kislam Jalalud-din Baadhi ya aya hizi ni pamoja na
.....Asilazimishwe mtu kuingia Dini(Baqara2:256)ilibarilishwa kwa (surat as saf 61:10-12)
.....Muelekeo wa wakati wa kusali (Baqara2:142) ilibatilishwa kwa (Baqara2:147)
....Amri ya kuomba usiku(al muzzamil73;2)ilibatilishwa kwa (al muzzanil73:20)
Ndugu msomaji hizi ni baadhi tu ya aya zinazo jichanganya zenyewe Muda usingeweza kutosha kuandika Na nyingine zinazopingana zenyewe kwa zenyewe..
Muundo wa Quran
Quran imeundwa na Baadhi ya mila na tamaduni mbalimbali za kiarabu na mchanganyiko wa dini mbalimbali,na mambo mengine yametoka katika vitabu vya tamaduni za kiyahudu kama #Talmud na Mishna, pia kuna vihistoria toka kwenye Biblia ingawa vimepinda huenda ni kwasababu ya makosa ya Kukariri au kwasababu kutokujua kusoma kwa Muhammad na maswahaba wake au kazi ya shetani kupotosha ukweli.aidha kuna tamaduni nyingi za kipagani Hasa pale arabuni makka na mawazo ya Muhammad mwenyewe..
Jinsi Quran inavyopotosha kweli za Biblia.
Quran ni kitabu kilichojaa Hadithi za kudandiadandia toka kwenye Biblia na ambazo nyingi Haziko sahihi na zinapingana na kupotosha ukweli zilizomo katika Biblia,Hadithi nyingi katika quran ni tofauti na zile zilizomo katika Biblia,Biblia ina masimulizi yanaojitosheleza yenye mwanzo mpaka mwisho,ni rahisi kujua kipi ni kipi utakipata wapi,lakini sivyo ilivyo katika quran Hadithi zake ni za kudandiadandia Hiki au kile wakati mwingine Bila kujua mwanzo wala mwisho au kupata Habari kamili labda ndio maana Muhammad alirejea mara kwa mara kuwataka waislam kutuuliza sisi tuliopewa vitabu kabla yao hapa yao.Hapa Chini tutachambua Mambo ambayo Quran imepotosha au kudanganya tofauti na Biblia.

A.(i)Nuhu alikuwa na mtoto mmoja aliyekufa kwa gharika (hud11;40-45)
(ii) Nuhu alipata Neema machoni pa Bwana yeye na uzao wake yaani watoto wake woote watatu(mwanzo sura ya 6-7)
(ii) Nuhu alipata Neema machoni pa Bwana yeye na uzao wake yaani watoto wake woote watatu(mwanzo sura ya 6-7)
B.(i) Baba wa Ibrahim ni azar (al naam6;74)
(ii) Baba wa ibrahim ni Tera (mwanzo 11:31)
(ii) Baba wa ibrahim ni Tera (mwanzo 11:31)
C..(i)Musa aliokotwa na mke wa farao (ak qasas28;38)
Musa aliokotwa na Binti ya farao (kutoka2;5-10)
Musa aliokotwa na Binti ya farao (kutoka2;5-10)
D.(i) Farao alimwambia Herman ajenge mnara wa Babel(al qasas28:38)
(ii) mnara wa Babeli ulijengwa na Nimrod(Mwanzo10:32,11:4)pia Habari hizi Quran imezungumza Uongo kwani kuna Tofauti.Farao aliishi miaka 800 baada ya mnara wa Babel na Harman aliishi miaka900 baada ya Farao hivyo kuna tofauti ya miaka 1700 tangu mnara wa Babel na kuishi kwa Harman.

Ndugu msomaji kuna mambo mengi ambayo Quran imejichanganya yenyewe na kupingana na Biblia mbali na Neno la Mungu,Ndio maana tunaona kuna dosari nyingi katika Quran zinazotuthibitishia sio kitabu cha kuaminika sana kwani kilikuja baadae sana Kuliko Biblia ambayo ni yazamani zaidi lakini imetunza ukweli sahihi.
Swali.
Je muandishi wa Quran ni nan?
Je muandishi wa Quran ni nan?
Kwanini Quran kitabu kilichojaa michanganyo Mingi??kwa mantiki hiyo Hatuwezi sema Quran ni kitabu cha shetani??
unapokosa majibu ya maswali haya basi fanya uamuzi wa kukimbilia kwa Yesu upate kweli..
Tafakari
chukua Hatua.
No comments:
Post a Comment