Tuesday, 10 October 2017

MUHAMMAD MPAKA WANJA

 

Wengi tunajua vipodozi kama wanja,Rangi ya mdomo na Urembo wakubadirisha rangi ya ngozi Hutumia zaidi wanawake.lakini kabla ya kujiuliza shaka hii kubwa,Lazima Tujue historia ya kupaka wanja ,na rangi mdomoni ilianza lini?.zamani sana na inasadikikia mambo haya yalianza Huko Uarabuni,wanawake wa Kimisri wakiwa Hodari kwenye kujipakapaka Huko.Hii ilikuwa Tamaduni ambayo ilikuwa inamaana kubwa kwa jamii.kwa mfano Tunaweza Ona jamii za kiafrika kama wanyamwezi,wadigo,wabondei iwapo Binti anakaribia kuvunja ungo,humweka ndani na kumpaka majivu na baada ya kutoka mabibi humpaka wanja na kwa kitendo hiki huashiria kwamba Binti Huyo yuko Tayari kwa ajili yakupata Bwana,Hivyohivyo Uarabuni.


Kwahiyo wanja ulikuwa na maana kubwa sana kwa jamii za zamani hadi sasa ingawa zimepungua kwa kiasi flani,kwenye jamii za kiarabu,Mwanamke aliyepaka wanja na Rangi nyekundu mdomoni hupeleka ujumbe kwa wanaume kwamba Yeye anahamu ya Ngono,midomo ya uchi wake inageuka kuwa nyekundu kama ile iliyopakwa kwenye Usoni,Na kitendo Hiko huwaashiria wanaume kwamba mwanamke Huyu anashida ya Ngono!!

Wanasayansi wakongwe kama Deus Hans,Desmond Morris katiaka vitabu vyao wamekubali jambo Hili kuwa mwanamke anapopaka wanja na Rangi za mdomoni Hufananisha midomo ya usoni na midomo ya uke inapovimba na kuwa mekundu Pale mwanamke anapokuwa na hamu kali ya kufanya ngono.(karne ya19).

Japokuwa siku za Leo wanawake Upaka kama urembo Bila kuashiria kitu kingine chochote,lakinikatika nyakati za Muhammad,Mwanamke anayepaka wanja na rangi za mdomoni huuashiria mambo kadhaa kama kuwa na Hamu ya kingono au kuvunja ungo,Hizo ndyo desturi kubwa zilikuwepo kwenye jamii za kiarabu.

Tunasoma katika Sunan Ibn Majah,Hadith No309 Muhammad pia alikuwa anatembea na Kio na wanja.

Maisha ya Muhammad kipengele cha mavazi Na26 “Muhammad alikuwa na kitana cha pembe akichania nywele zake,Alikuwa na mafuta na Alikuwa na Kioo akijitazama na Kichupa cha WANJA ambao akijitia usiku kabla ya kulala na Alipenda sana kutumia manukato…..”
Kulingana na tamaduni za waarabu Je Muhammad alikuwa na Maana gani kujipodoa huko?
Kupaka wanja na rangi mdomoni humuashiria mwanaume kuwa mwanamke huyu anahamu ya ngono J au Binti yuko tayari kwa ajili ya kuolewa!!
Je Muhammad alikuwa anahitaji nini Kwa kujipodoa huko??
Kutukana ni ishara akili yako imefika mwisho.
Njoo na Hoja. 
HUU NI MSIBA MKUBWA KWA UISLAM.

2 comments:

  1. mmmmh kwanini sasa alikuwa anapaka wanja

    ReplyDelete
  2. HUU MDA ULIOPOTEZA KUANDIKA HAYA UNGEFANYA MAMBO MENGINE YA MAANA HIVI NDUGU UNAMFAHAM MUHAMMED?? KISHA UNACHORA KUMUASHIRIA UMEKOSEA SANA SANA ILA UTAKUJA KUJUTA MAJUTO MAKUBWA.

    ReplyDelete