Baadhi ya Wakristo wanaona kwamba Huduma ya Injili kwa muislam
ni jambo la ziada tu lakini si lalazima lakini Huduma ya Mkristo yeyote
Yule ni kumfanya Yesu Kristo kujulikana kwa wao wasio mjua,wawe wanaishi
mbali au karibu kwake. Kuhama kwa watu toka nchi za Kiislamu hadi nchi
zenye Wakristo wengi imefungua fursa mpya kwa huduma ya Kikristo katika
maisha yetu ya kila siku.
Kama mwaamini na kushiriki Injili, utapata
uwepo unao endelea wa Bwana Yesu Kristo: Kwa sababu hii, enendeni
ulimwenguni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa
Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, nanyi wafundisheni
kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika Mimi niko pamoja nanyi
sikuzote, hadi mwisho wa nyakati Kuhusu Kristo na cha kuzingatia
ni hapa sasa, huduma ya Kikristo kushikilia katika tarajio ni Muhimu
sana kwa maisha yote, matarajio, na utu wa upeo wa Kiislam.Walakini,
watu wengi hawajui jinsi ya kushiriki Injili kwa Waislam au wameogopa
kufanya hivyo. Kwa ukurasa huu kuna baadhi ya miongozo jinsi ya
kushiriki nao.
Ushirikiano wako na Yesu
Kuchanganya na dini
nyingine inaweza kuwa uzoefu mgumu, Mungu aliwaumba wanadamu wawe na
uhuru wa kuchagua. Watu wanaweza tu kuguswa na Mungu kupata ukweli. Kwa
hivyo utajiuliza mwenyewe: jinsi gani ulivyo uhusiano wako na Yesu
Kristo? Utahitaji moyo ulio wazi kwa Roho wa Mungu Atakapokuja huyo Roho
wa kweli atawaongoza awatie katika kweli yote. Yeye hatanena kwa ajili
Yake mwenyewe, bali atanena yale yote atakayosikia, naye atawaonyesha
mambo yajayo. Atanitukuza Mimi, kwa maana atayachukua yaliyo Yangu na
kuwajulisha ninyi (Yohana 16:13-14). Pia mtindo wa maisha yako ni wa
muhimu.
Tukiwa na maisha yaliyo kweli ya Kikristo, Waislam wata
ona mabadiliko Mungu amefanya katika maisha yako. Zaidi, hauhitaji
kujiombea wewe mwenyewe, ila pia tuwaombee Waislam, ambao Mungu
anawaleta katika umakini wetu. Inaweza kuwa watu wanaojulikana au pia
wasiojulikana. Ombea hekima ndani yako jinsi unavyoweza kuwafikia wao
kwa njia bora.Kama mtu ye yote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na
amwombe Mungu, Yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo,
naye atapewa (Yakobo 1:5).
Tabia yako inayo tenda kazi
Mojawapo ya matatizo siku za leo katika kushiriki Injili kwa Waislam ni
kwamba hatuna bidii sana kutembelea rafiki zetu Waislam kushiriki
Injili. Wakati hatujatulia sana ulimwenguni ndipo tunaweza kutangaza
ufalme wa Bwana wetu. Wakati Wakristo wameandaliwa kufanya vitu vya
Injili ya Yesu, aliye tuitia kutangaza, Waislam wengi wangefikiwa leo
hii.[15] Nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani
(Waefeso 6:15). Ni vema kufanya mapatano kwako mwenyewe au na wengine
kuwa pale ambako Waislam wapo na kuanza mazungumzo na wao.
Waambie Waislam Kuhusu Yesu
Hapa katika hutua ya kuanza mazungumzo na Muislam kushiriki Injili.
Kila mtu ni tofauti na pia kuna tofauti katika mazingira. Kwa kila
mazungumzo ni ya ajabu. Kukupa wewe tukio jinsi mazungumzo yanavyoweza
kuendelea, hapa kuna maswali yafuatayo na majibu:
1. Je huna ufahamu wa Injili ya Yesu Kristo?
Waislam wengi watasema: Mimi Muislam. Kwa sentensi hii wanataka
kuonyesha kwamba jamii zao zina toka nchi ya Kiislam na kwamba Injili ya
watu kutoka Magharibi, na si wao.Baada ya wazo hili, utaweza kuangalia
swala muhimu la kila mwanadamu:
2. Je una uhakika unaenda Mbinguni ukifa?
Waislam wengi watasema hawana uhakika kwamba wanaenda Mbinguni kama
mtume muhammad. Wataongeza ya kwamba hakuna anayejua awe mke au mume
hana uhakika kama wanaenda Mbinguni. Kwa hivyo utaweza kuuliza swali
lifuatalo:
3. Je umewahi kusema kitu kisicho kuwa kweli au kuchukua kitu kisicho kuwa chako?
Marafiki zetu Waislam wengi wao watakubali wamewahi kufanya makosa,
iwapo hawawezi, unaweza kuwaliza iwapo wamewahi kufanya makosa katika
kutotii mojawapo ya amri. Mwishowe watakubali wamewahi kufanya hata kosa
mojawapo.
4. Je una taka kumkubali Yesu Kristo kama Mwokozi wako kibinafsi?
Katika nchi ambako imani ya Kikristo haifanyi kazi, utaweza kusema
hadithi yako jinsi ulipata kufanya uhusiano na Yesu Kristo kama mwokozi
wa maisha yako. Utaweza kumalizia swali: Je unafikiri nini kuhusu haya?
Ni uhuru wa kila mmoja aseme, awe waume au kike anataka kumkubali Yesu
Kristo kama Mwokozi wa maisha yake. Waislam watasema ‘hapana’. Wengine
ni wapole kwa kusema watafikiri kuhusu mambo hayo. Hata hivyo kuna
Waislam wanao mkubali Yesu Kristo na wanaziidi kuongezeka kila mwaka.
5. Omba maombi ya mwenye dhambi
Hapa sasa tuna fika hatua ya mwisho ambako Roho Mtakatifu atamwongoza
rafiki yetu Muislamu kumpokea Yesu Kristo. Utamwuliza rafiki yako kuomba
maombi ya mwenye dhambi.
6. Waalike wao waje Kanisani
Baada
ya kuokoka, rafiki zetu wanahitaji kuja kanisani kufanywa wafuasi:
kulingana na miongozo ya Bibilia. Mpe Mungu utukufu: Basi msifurahi kwa
kuwa pepo wachafu wanawatii, bali furahini kwa kuwa majina yenu
yameandikwa mbinguni (Luka 10:20).
No comments:
Post a Comment