Yale yaliyokuwa kweli katika maisha ya Paulo ni kweli katika maisha yako vile vile. Wewe pia ni “kiumbe kipya [ambayo ni matokeo ya kuzaliwa mara ya pili na asili mpya katika Kristo Yesu, Masihi],” na pia unaweza kupokea “mapya sasa yamekuja.” Huko jinsi ulivyokuwa awali. Mungu amefanya mengi sana katika maisha yako—amekubadilisha.
Nina hakika, wewe kama mimi, uko mbali sana na kuwa mkamilifu, lakini pia nina hakika kwamba umeendelea na kwamba umepiga hatua Kama ungetulia na kufikiria juu ya jinsi ullivyokuwa zamani— mambo yaliyokuwa yanakusumbua — ungesisimka sana juu ya jinsi Mungu alivyokutoa mbali. kubwa katika kuyafikia mabadiliko mazuri. Kama ungetulia na kufikiria juu ya jinsi ulivyokuwa zamani—mambo yaliyokuwa yanakusumbua —ungesisimka sana juu ya jinsi Mungu alivyokutoa mbali.
Kijana wangu, Joel, alikuwa anaongea nami asubuhi ya leo kuhusu bwana fulani wanayecheza golfu pamoja. Huyu bwana alimwambia Joel kwamba mke wake, ingawa ni Mkristo, hajawahi kusahau jinsi alivyonyanyaswa wakati alipokuwa mtoto. Kwa miaka kadhaa sasa amekuwa na matatizo ya kiakili na kihisia na sasa ana matatizo mengi ya kimwili kutokana na msongo wa ndani anaoishi nao. Mimi na Joel tulipoongelea suala hilo na kujadiliana kwa nini watu wengine walio na historia sawa na hiyo hupona kabisa, na ilhali wengine hawaponi, sote tulifikia jibu moja. Ikiwa tunataka kupona kutokana na uchungu wa maisha ya zamani, lazima tuamini kweli kwamba tu viumbe vipya katika Kristo.

Lazima tuachane kabisa na na yule mtu wa kale tuliyekuwa na tujifunze kuishi maisha ya ufufuo tuliyopewa na Yesu. Lazima tuache kujitambulisha na mtu wetu wa zamani mwenye dhambi, aliyejeruhiwa, au aliyenyanyaswa na tuanze kujitambulisha na mtu mpya tuliyeumbwa katika Kristo. Katika maisha ya mwamini, matumiani msingi wake ni ule uelewa kwamba Mungu hubadilisha mambo. Mabadiliko, kuzaliwa upya, kugeuzwa: Hii ndiyo Iache Hali Yako Ya Zamani.
Yale yaliyokuwa kweli katika maisha ya Paulo ni kweli katika maisha yako vile vile. Wewe pia ni “kiumbe kipya [ambayo ni matokeo ya kuzaliwa mara ya pili na asili mpya katika Kristo Yesu, Masihi],” na pia unaweza kupokea “mapya sasa yamekuja.” Huko jinsi ulivyokuwa awali. Mungu amefanya mengi sana katika maisha yako—amekubadilisha. Nina hakika, wewe kama mimi, uko mbali sana na kuwa mkamilifu, lakini pia nina hakika kwamba umeendelea na kwamba umepiga hatua Kama ungetulia na kufikiria juu ya jinsi ullivyokuwa zamani— mambo yaliyokuwa yanakusumbua — ungesisimka sana juu ya jinsi Mungu alivyokutoa mbali. kubwa katika kuyafikia mabadiliko mazuri. Kama ungetulia na kufikiria juu ya jinsi ulivyokuwa zamani—mambo yaliyokuwa yanakusumbua —ungesisimka sana juu ya jinsi Mungu alivyokutoa mbali. Kijna wangu, Joel, alikuwa anaongea nami asubuhi ya leo kuhusu bwana fulani wanayecheza golfu pamoja.
Huyu bwana alimwambia Joel kwamba mke wake, ingawa ni Mkristo, hajawahi kusahau jinsi alivyonyanyaswa wakati alipokuwa mtoto. Kwa miaka kadhaa sasa amekuwa na matatizo ya kiakili na kihisia na sasa ana matatizo mengi ya kimwili kutokana na msongo wa ndani anaoishi nao. Mimi na Joel tulipoongelea suala hilo na kujadiliana kwa nini watu wengine walio na historia sawa na hiyo hupona kabisa, na ilhali wengine hawaponi, sote tulifikia jibu moja. Ikiwa tunataka kupona kutokana na uchungu wa maisha ya zamani, lazima tuamini kweli kwamba tu viumbe vipya katika Kristo.
Lazima tuachane kabisa na na yule mtu wa kale tuliyekuwa na tujifunze kuishi maisha ya ufufuo tuliyopewa na Yesu. Lazima tuache kujitambulisha na mtu wetu wa zamani mwenye dhambi, aliyejeruhiwa, au aliyenyanyaswa na tuanze kujitambulisha na mtu mpya tuliyeumbwa katika Kristo. Katika maisha ya mwamini, matumiani msingi wake ni ule uelewa kwamba Mungu hubadilisha mambo. Mabadiliko, kuzaliwa upya, kugeuzwa: Hii ndiyo habari njema ya Injili. Ukiwa peke yako, ulikuwa umepotea, umepondeka, na mbali na Mungu, na bila matumaini. Lakini kwa sababu ya upendo wake mkuu, Mungu alimtuma Yesu ili uweze kupatikana, uponywe, upatanishwe naye, na matumaini yako yarejeshwe. Wokovu unahusu mabadiliko— mabadiliko yanayowezekana kwa sababu ya jinsi Mungu anavyonipenda mimi na wewe. Si tu kwamba wokovu unahusu mabadiliko, lakini pia unahusu maisha yako ya kila siku na Mungu. Katika Maandiko yote, kila wakati watu walipokutana na Mungu, kulitokea mabadiliko. Abramu alibadilishwa na kuwa Abrahamu (Mwanzo 17:5). Sarai alibadilishwa na kuwa Sara (Mwanzo 17:15) Yakobo alibadilishwa na kuwa Israeli (Mwanzo 32:28) Simoni alibadilishwa na kuwa Petro (Yohana 1:42).
Sauli alibadilishwa na kuwa Paulo (Matendo 13:9). Na si majina pekee yaliyobadilishwa— bali hata mwelekeo wa maisha yao ulibadilika. Mchungaji alibadilishwa na kuwa mfalme. Mtoro alibadilishwa na kuwa kiongozi wa taifa. Wavuvi walifanyika wanafunzi. Farisayo alifanyika mtume. Lakini ni muhimu kutambua kwamba, pamoja na Paulo, Mungu alipoyabadilisha maisha ya wanaume na wanawake hawa, walikuwa tayari kuwa watu wapya kama Mungu alivyowaumba wawe. Daudi hakutembea huku na kule na akili ya mvulana mchunga mifugo; alipokea wajibu wake wa kuwa mfalme. Musa hakujificha tena kwa kumwogopa Farao; alitangaza kwa ujasiri, “Wape ruhusa watu wangu ili waende!” Petro hakuogopa sasa; alisimama na akahubiria maelfu ya watu Siku ya Pentekoste. Kila mtu alipokea kile Mungu alichofanya—na kile alichokuwa anafanya—katika maisha yao . . . na wewe unaweza kufanya hivyo.
Kusema kweli, ikiwa hutakipokea, utasumbuka wakati wote na kuishi maisha ya kiwango cha chini, yasiyosisimua kamwe, yasiyo na nguvu kinyume na yale maisha yaliyo yako katika Yesu. Nataka nikuulize maswali kadhaa: Je, unaamini Mungu anakupenda bila masharti yoyote? Je, unaamini umesamehewa dhambi zako ZOTE? Je, unaamini kwamba umekuwa kiumbe kipya na una moyo na roho mpya? Je, umejikubali? Je, unajipenda? Je, unaamini kwamba kuna mambo ya kusisimua mbele yako? Ikiwa unaamini mambo haya, basi acha nikupongeze kwa sababu uko njiani kuyafikia mambo mazuri ajabu. Ikiwa huyaamini mambo haya, basi wakati umefika wa kulisoma Neno la Mungu mpaka uweze kuyaamini. Amini ahadi zilizo katika Neno la Mungu kuliko kuamini jinsi unavyohisi, na usikate tamaa hadi upate ushindi. Geuza upya nia yako uanze kuwa na uhalisia wa kiumbe kipya. Mambo kama vile wewe ni haki ya Mungu katika Kristo! Umehesabiwa haki na kutakaswa kupitia damu ya Yesu!
Una talanta na uwezo uliopewa na Mungu! Mungu anaishi ndani yako na hatakuacha wala kukupungukia! Utakapotambua kwamba u mtu mpya, una matumaini mapya. Jinsi ulivyokuwa zamani, makosa uliyokuwa ukifanya, mambo yasiyokuwa ya haki yaliyotokea kwako, matatizo uliyokuwa ukikumbana nayo— mambo hayo hayana haja ya kuendelea kukufunga. Usitembee huku ukijiambia Nina tatizo la hasira. Siwezi kudhibiti hasira yangu. Hapana, hivyo ndivyo ulivyokuwa zamani. Mungu amekubadilisha ndani, na unageuzwa kwa nguvu zake zilizo ndani yako. Sasa wewe ni mtu aliyejaa amani na furaha ya Bwana. Kubali kuwa mtu huyo. Tunaanza kwa kuamini habari njema ya Injili, na kisha tunageuza upya nia zetu kwa kusoma Neno la Mungu, na kuanza kuishi katika uhalisia wa jinsi tulivyo wapya katika Kristo. Badala ya kuishi huku ukijichukulia kuwa mwathiriwa, na kujiambia Mmm, siwezi kumwamini mtu yeyote. Siwezi kuwa na uhusiano mzuri kwa sababu ya makosa niliyofanya huko nyuma, au mimi si mzuri, pokea nguvu za Mungu za uponyaji maishani mwako. Wewe u mtu mpya. Anaponya kila jeraha na anakurejeshea kile ulichopoteza. Kusema kweli, anaenda kukupatia baraka maradufu kwa vitu vilivyochukuliwa kwako (Isaya 61:7).
Ikiwa uliumizwa huko nyuma, hiyo haikufanyi uwe mwathiriwa maisha yako yote. Unaweza kushinda uchungu huo na ukaishi maisha mazuri, ya ushindi. Wewe ni kiumbe kipya katika Kristo, umejaa nguvu mpya na matumaini mapya.
Kumbuka, historia yako si hatima yako! Unaweza kuishi kila siku kwa ujasiri huku ukijua kwamba una nguvu zaidi ya ulivyokuwa zamani, kwa sababu kila siku Mungu anafanya kazi kubwa maishani mwako. Hiyo haimaanishi umekamilisha kila kitu unachotaka kukamilisha, na haimaanishi sasa unafanya kila kitu kwa ukamilifu, lakini inamaanisha unaweza Unaweza kuishi kila siku kwa ujasiri huku ukijua kwamba una nguvu zaidi ya ulivyokuwa zamani, kwa sababu kila siku Mungu anafanya kazi kubwa maishani mwako. kuwa na matumaini mapya.
Natumaini hiyo inakuhamasisha kusema, kama Paulo: “Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu” (Wafilipi 3:12). Usiishi siku moja nyingine na kusema “Siwezi kufanya hivi,” “Sitafaulu,” au “Mimi si mzuri vile.” Haya ni maneno yasiyokuwa na matumaini. Pengine mambo hayo yalikuwa yanaelezea jinsi ulivyokuwa zamani, lakini kwa kweli hayaelezei jinsi ulivyo mtu mpya katika Kristo. Wewe ni mwana wa Mungu. Wewe ni zaidi ya mshindi.
Wewe ni kichwa na si mkia. Wewe ni haki ya Mungu katika Kristo Yesu. Yeye aliye ndani yenu (yako) ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. njema ya Injili. Ukiwa peke yako, ulikuwa umepotea, umepondeka, na mbali na Mungu, na bila matumaini. Lakini kwa sababu ya upendo wake mkuu, Mungu alimtuma Yesu ili uweze kupatikana, uponywe, upatanishwe naye, na matumaini yako yarejeshwe. Wokovu unahusu mabadiliko— mabadiliko yanayowezekana kwa sababu ya jinsi Mungu anavyonipenda mimi na wewe. Si tu kwamba wokovu unahusu mabadiliko, lakini pia unahusu maisha yako ya kila siku na Mungu. Katika Maandiko yote, kila wakati watu walipokutana na Mungu, kulitokea mabadiliko. Abramu alibadilishwa na kuwa Abrahamu (Mwanzo 17:5). Sarai alibadilishwa na kuwa Sara (Mwanzo 17:15) Yakobo alibadilishwa na kuwa Israeli (Mwanzo 32:28) Simoni alibadilishwa na kuwa Petro (Yohana 1:42). Sauli alibadilishwa na kuwa Paulo (Matendo 13:9). Na si majina pekee yaliyobadilishwa— bali hata mwelekeo wa maisha yao ulibadilika. Mchungaji alibadilishwa na kuwa mfalme. Mtoro alibadilishwa na kuwa kiongozi wa taifa. Wavuvi walifanyika wanafunzi. Farisayo alifanyika mtume. Lakini ni muhimu kutambua kwamba, pamoja na Paulo, Mungu alipoyabadilisha maisha ya wanaume na wanawake hawa, walikuwa tayari kuwa watu wapya kama Mungu alivyowaumba wawe. Daudi hakutembea huku na kule na akili ya mvulana mchunga mifugo; alipokea wajibu wake wa kuwa mfalme. Musa hakujificha tena kwa kumwogopa Farao; alitangaza kwa ujasiri, “Wape ruhusa watu wangu ili waende!” Petro hakuogopa sasa; alisimama na akahubiria maelfu ya watu Siku ya Pentekoste. Kila mtu alipokea kile Mungu alichofanya—na kile alichokuwa anafanya—katika maisha yao . . . na wewe unaweza kufanya hivyo.
Kusema kweli, ikiwa hutakipokea, utasumbuka wakati wote na kuishi maisha ya kiwango cha chini, yasiyosisimua kamwe, yasiyo na nguvu kinyume na yale maisha yaliyo yako katika Yesu. Nataka nikuulize maswali kadhaa: Je, unaamini Mungu anakupenda bila masharti yoyote? Je, unaamini umesamehewa dhambi zako ZOTE? Je, unaamini kwamba umekuwa kiumbe kipya na una moyo na roho mpya? Je, umejikubali? Je, unajipenda? Je, unaamini kwamba kuna mambo ya kusisimua mbele yako? Ikiwa unaamini mambo haya, basi acha nikupongeze kwa sababu uko njiani kuyafikia mambo mazuri ajabu. Ikiwa huyaamini mambo haya, basi wakati umefika wa kulisoma Neno la Mungu mpaka uweze kuyaamini. Amini ahadi zilizo katika Neno la Mungu kuliko kuamini jinsi unavyohisi, na usikate tamaa hadi upate ushindi. Geuza upya nia yako uanze kuwa na uhalisia wa kiumbe kipya. Mambo kama vile wewe ni haki ya Mungu katika Kristo! Umehesabiwa haki na kutakaswa kupitia damu ya Yesu!
Una talanta na uwezo uliopewa na Mungu! Mungu anaishi ndani yako na hatakuacha wala kukupungukia! Utakapotambua kwamba u mtu mpya, una matumaini mapya. Jinsi ulivyokuwa zamani, makosa uliyokuwa ukifanya, mambo yasiyokuwa ya haki yaliyotokea kwako, matatizo uliyokuwa ukikumbana nayo— mambo hayo hayana haja ya kuendelea kukufunga. Usitembee huku ukijiambia Nina tatizo la hasira. Siwezi kudhibiti hasira yangu. Hapana, hivyo ndivyo ulivyokuwa zamani. Mungu amekubadilisha ndani, na unageuzwa kwa nguvu zake zilizo ndani yako. Sasa wewe ni mtu aliyejaa amani na furaha ya Bwana. Kubali kuwa mtu huyo. Tunaanza kwa kuamini habari njema ya Injili, na kisha tunageuza upya nia zetu kwa kusoma Neno la Mungu, na kuanza kuishi katika uhalisia wa jinsi tulivyo wapya katika Kristo. Badala ya kuishi huku ukijichukulia kuwa mwathiriwa, na kujiambia Mmm, siwezi kumwamini mtu yeyote. Siwezi kuwa na uhusiano mzuri kwa sababu ya makosa niliyofanya huko nyuma, au mimi si mzuri, pokea nguvu za Mungu za uponyaji maishani mwako. Wewe u mtu mpya. Anaponya kila jeraha na anakurejeshea kile ulichopoteza. Kusema kweli, anaenda kukupatia baraka maradufu kwa vitu vilivyochukuliwa kwako (Isaya 61:7).
Ikiwa uliumizwa huko nyuma, hiyo haikufanyi uwe mwathiriwa maisha yako yote. Unaweza kushinda uchungu huo na ukaishi maisha mazuri, ya ushindi. Wewe ni kiumbe kipya katika Kristo, umejaa nguvu mpya na matumaini mapya.
Kumbuka, historia yako si hatima yako! Unaweza kuishi kila siku kwa ujasiri huku ukijua kwamba una nguvu zaidi ya ulivyokuwa zamani, kwa sababu kila siku Mungu anafanya kazi kubwa maishani mwako. Hiyo haimaanishi umekamilisha kila kitu unachotaka kukamilisha, na haimaanishi sasa unafanya kila kitu kwa ukamilifu, lakini inamaanisha unaweza Unaweza kuishi kila siku kwa ujasiri huku ukijua kwamba una nguvu zaidi ya ulivyokuwa zamani, kwa sababu kila siku Mungu anafanya kazi kubwa maishani mwako. kuwa na matumaini mapya.
Natumaini hiyo inakuhamasisha kusema, kama Paulo: “Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu” (Wafilipi 3:12). Usiishi siku moja nyingine na kusema “Siwezi kufanya hivi,” “Sitafaulu,” au “Mimi si mzuri vile.” Haya ni maneno yasiyokuwa na matumaini. Pengine mambo hayo yalikuwa yanaelezea jinsi ulivyokuwa zamani, lakini kwa kweli hayaelezei jinsi ulivyo mtu mpya katika Kristo. Wewe ni mwana wa Mungu. Wewe ni zaidi ya mshindi.
Wewe ni kichwa na si mkia. Wewe ni haki ya Mungu katika Kristo Yesu. Yeye aliye ndani yenu (yako) ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.
No comments:
Post a Comment